Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

Mnunulie hizo shanga avae!

Mfundishe jinsi ya kufanya!

Mfundishe kupiga kelele unazo zipenda!

Mwambie aanze kuvaa khanga moja!

Mwambie mkiwa wote asilale bali akurukie!

Mwanamke anafundishika na Mkizoeana, hakutakuwa na mwanamke mzuri kama wa kwako! Wezi wanakuwa makini kujishughulisha mpaka wakipate wanachokitaka, na wakipata utavipata kwa Nadra sana.
Teach your woman to have an open mind and broaden yours, mtainjoi sana. Mipaka inadhoofisha sana mapenzi, iondoeni.
 
Kweli kwenye kelele hapo. zinaudhi anapiga kelele mwanzo mwisho avacheni uongo. midadi gani hata kidole unakililia

Ukute sasa wa kupiga kelele kwa script utachoka.... ough bebiii.... oouughh do it..... ouuugh whattttt...??? Hayo matamsha mwanzo mwisho toka mnaanza mpaka mnamaliza....
 
habari za siku wadau....

leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bna......

Mademu wengine wana lawama sana....

wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii papuchi....si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...

anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka... mpaka majirani wanakereka bna....

kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..

khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...

teh teh teh mapenzi haya.....

halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

shame on u... huyo mwanaume
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

ikikuuma iache ila ujumbe umefika.

Hahahahahahaaaaa....mkuu umeniacha hoi aisee!!!!
 
mwenzio amenata bunju na mhusika anadai mil 4

Teh teh teh teh,dawa ya wakware ndiyo hiyo,hivi hii ya bunju ni live kabisa sababu sikuinasa nilikua busy kidogo. Hata hivo jamaa mwenye mke ana huruma sana.
 
habari za siku wadau....

leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bna......

Mademu wengine wana lawama sana....

wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii papuchi....si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...

anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka... mpaka majirani wanakereka bna....

kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..

khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...

teh teh teh mapenzi haya.....

halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

shame on u... huyo mwanaume
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

ikikuuma iache ila ujumbe umefika.

Hahaha. .umetisha
 
Kiukweli ndo maana ndoa za dotcom hazidumu. Yani mwenzio akiwa na fault kidogo tu unachepuka? did you take time to explain and tolerate?
Mtaachana sana tu, kwa sababu kwa bahati mbaya (au nzuri?) No body is perfect. We mseme tu hapa ila ukichukua muda kujua na yeye anakusemaje kwa mashosti zake utakimbia mwenyewe!
Kweli kizazi chetu ndoa tumeelekeza kwenye mapenzi lakini si kutengeneza familia yenye msimamo na msingi mzuri wa maadili na jamii kwa ujumla, wanawake wanalalamika ooh mara mpenzi wangu anakibamia haniridhishi kabisa haya wanaume nao wanakuja na hayo, hivi kwani kwenye ndoa tunaingia kwenye mashindano ya nani anajua kufanya sex na kwa utalaamu gani? wanawake mnaowaita magogo ndo wanaoolewa na kudumu kwenye ndoa zao, wanaojiona kuwa ni wataalamu wa mambo ndo hao wanachezewa na kuzalishwa ndo maana mtoa maada amewaita mchepuko, tukienda kwa mtazamo huu jamii tunayoijenga itakuwa ya ajabu sana miaka ya baadaye
 
Hii kaiandika mwanaume kweli?
Malengo na ujumbe ulikuwa mzuri , ila uwasilishwaji wake , aiseeeeh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom