Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
10,870
2,000
shanga nyingine kama uchafu... :becky:[/QUO]
Unawakera wapendwaze ujue eee
hahahaaaaa, mie sijali na sio mfuasi wa ziwepo au zisiwepo, ila zikizidi halafu ukute mtu anashindwa kuzimanage inaboa...

Pia kuna katrend ka kuiga mambo unakuta kajichanua kama kuku wa mtaa wa kongo halafu umbile nalo linashindwa kumlinda, utadhani bata mzinga alipita akichakura-chakura mbunye basi dah...

Shata na mahaba zina raha yake kuliko vya kuiga

mapenzi hayana SOP

Uzi mtamu lakini, habari zinawafikia walengwa
 
Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
habari za siku wadau....

Leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bna......

Mademu wengine wana lawama sana....

Wakisikia boyfriend wake amecheat atapiga kelele...atamsuta

"umekosa nini mwanaume huridhiki,utamaliza nyama bucha ileile,kwani mi sikupiiii papuchi....si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka,kwani haikutoshi hii?"

anatokwa povu wakati in reality hakuna anachofanyaga...

Anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mkwaju..

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka... Mpaka majirani wanakereka bna....

Kazi yote ufanye wewe...sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,unafinywa si kufinywa,unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau mlango wa banda..

khanga ikianguka mtoto ana shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni..ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa poleeee...

Teh teh teh mapenzi haya.....

halafu unapewa juisi ya embe huku unakunwakunwa ulale...

Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo...akimaliza unamwambia "sogea huko tulale unanibana"

shame on u... Huyo mwanaume
asipochepuka labda ni mhashamu askofu mwandamizi wa kigango cha mavurunza.

Ikikuuma iache ila ujumbe umefika.
wezi tu hao,oa huyo wa shanga weka ndani yatakua yaleyale uliyoyakimbia kwa mkeo nio yanajirudia so utatafuta mwingine............
 
7ve

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
895
1,000
unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..

Umenifanya nimecheka mpaka basi. Sipati picha huyo kondoo looo
 
love more than100

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
2,068
1,500
habari za siku wadau....

leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bna......

Mademu wengine wana lawama sana....

wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii papuchi....si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...

anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka... mpaka majirani wanakereka bna....

kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..

khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...

teh teh teh mapenzi haya.....

halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

shame on u... huyo mwanaume
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

ikikuuma iache ila ujumbe umefika.
Uwiiiiii... jmn nimecheka mpk shetani anashangaaa... but am get z point of no rtn.
 
Loading

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
594

Maybe nitarudi
 
Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
3,260
2,000
Yaani nimechekaje! Madada zetu wajifunze maujanja ya ndani sio kulalamika tu mbona hamfundiswi kuomba hela!
Huo ni ushauri wenu wa kufungia mwaka...nyambaffff
 
missa

JF-Expert Member
May 24, 2012
363
0
"Mhashamu askofu mwandamizi wa kigango cha mavurunza"!!..umenichekeshaje hadi machozi yamenitoka!!!nimejaribu kuvuta hisia huyo askofu anafananaje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom