natufanye mtu
Member
- Feb 20, 2018
- 34
- 190
Mafanikio kamili ya mwanadamu huja ikiwa kuna uwiano sahii( balance)wa nguvu ya Roho, nafsi na mwili. Roho, nafsi na mwili ni vitu ambavyo vipo katika state/dimension ( hali) tatu tofauti.Thibitisha kufanikiwa kwa mtu kutumia uchawi onyesha connection
Kwa mwanadamu kazi kuu ya mwili ni kuchukua maelezo kutoka rohoni na kuyafanyia kazi na uchawi unaoungelea hufanya kazi katika dimension ya rohoni hivyo basi,nguvu hii huweza kuufanya mwili kuweza au kushindwa kufanya mambo flani ambayo mwisho wa siku humfanya mtu kupata au kukosa kitu flani katika dimension ya mwili.
Najua unaweza kufikiri kuwa ubongo ndo huongoza mwili, ila si kweli.Ubongo ni chombo tu ambacho akili hutumia ili kufanya mambo yake na akili yenyewe ni sehemu ya roho.Kwa kifupi ubongo ni sehemu ya mwili tu kama ulivyo mkono au mguu.
Mfano mwepesi ni kwamba, wapo wenye miguu lakini hawatembei, wapo wenye macho lakini hawaoni ni hii ni kuashiria kwamba miguu haitufanyi tuweze kutembea. Ila ipo nguvu inayotuwezesha kutembea ambayo huitumia miguu ili kufanikisha lengo hilo.Hivyo basi kama nguvu ya kutembea haitokuwepo basi miguu haitiweza kutembea kamwe na nguu hii huwa ipo kwenye dimension nyingine.