eti, si mmeelewa kicha cha habari?
...leo sijavuta kabisaa!!!niko fresh nimeandika nikiwa timamu
Jipenyeze kwenye mkutano wa jk umzabe kibao.
eti, si mmeelewa kicha cha habari?
...leo sijavuta kabisaa!!!niko fresh nimeandika nikiwa timamu
eti, si mmeelewa kicha cha habari?
...leo sijavuta kabisaa!!!niko fresh nimeandika nikiwa timamu
hebu ufanyie kazi kama ushauri huu unaongoza!katika ushauri niliopata nadhani huu unaongoza...
tatizo safari zake nyingi, kwani yuko tanzania?
Piga picha ukiwa na suti ya kuzaliwa mpelekee shigongo
Tobaaaa!!!
Sasa mbona habari yote peupe au zapunga upepo?
Asprin utamuweza kwa vituko?
Ila kama utauweza uume wenza karibu.