kitu gani nifanye...ndani ya muda mfupi jina langu liwe maarufu TANZANIA?

huu wa jf haukutoshi BAGAH tz nzima tupo humu..twakujua sema ww hujui tu.
data mimi nataka kama ule wa babu loliondo...
au dokta ulimboka...
au matonya...
au yule aliyemzaba kibao mzee ruksa...
nipe kisa kingine basi na mimi nitoke kivyangu...haha
 
Last edited by a moderator:
eti, si mmeelewa kicha cha habari?
...leo sijavuta kabisaa!!!niko fresh nimeandika nikiwa timamu

Kajirushe toka ghorofa ya juu kabisa jengo la Benjamini Mkapa pale posta mpya na uandae waandishi na wapiga picha kibaao! mbona utatoka tu mwana! hadi CNN watakurusha kuliko hata pedejhee Ndama n.k, wahi fursa hii ni adimu!
 
Kajirushe toka ghorofa ya juu kabisa jengo la Benjamini Mkapa pale posta mpya na uandae waandishi na wapiga picha kibaao! mbona utatoka tu mwana! hadi CNN watakurusha kuliko hata pedejhee Ndama n.k, wahi fursa hii ni adimu!

geeeee...sasa nitajuaje kama nimekua maarufu?
iyo njia yako dizain unanipoteza...haha..
 
mh!! my brother BAGAH nenda pale ukumbi wa habari maelezo, itisha press conference halafu sema unaomba kuifundisha timu ya taifa ya olimpic wala huna haja na mshahara ila kambi utaweza kuwaweka nyumbani kwako, mabodia watashea room na watoto wako, wakimbiaji watalala chumba cha housegirl na waogeleaji mtabanana nao chumbani kwako, halafu kwa kumalizia uwaambie 2016 medali uhakika, uongee huku ukimlilia Mzee JK kwamba akusaidie sana tena usisahau kuwatajataja watu wengi wengi na kuwaundia zengwe ili wakujibu kwa hasira na waandishi wakufuate tena wenyewe.... mwisho wa siku unakuwa maarufu

try this at home teh teh he


by the way how are you?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom