Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,183
Kwanini hawakupi chakula yakokukaa mwaka mzima bila kugegedwa.nyege sio mchezo *****
Kwanini hawakupi chakula yakokukaa mwaka mzima bila kugegedwa.nyege sio mchezo *****
HahahahaNikiona krikuu au box au mfuko wa sandarusi huwa nakumbuka tukio zima.
NdiyoHahahaha
Pole sana mama Faraja! Hakika mitihani ni sehemu ya maisha yetu.Mambo makubwa ambayo sitasau mwaka huu 9/3/2017 saa 12 asubuhi siku aliyofariki mume Wangu kwaajali ya gari, kifo hiki kimefanya maisha yangu kubadilika na kujikuta sina thamani tena,
Pia sita sahau tar 30/9/2017 siku ya jumamosi saa 12 asubuhi, siku niliyojifungua mtoto Wangu wa kike aliyenifanya niitwe mama faraja na kwanza maisha rasmi ya kuwa single mother
Shukrani za pekee zimuendee member mmoja wa hapa jamii forum aliyejitolea na kunisaidia kunirudisha kwenye hali ya kawaida kwa kunishauri bila kuchoka hadi sasa angalau nimeweza kurudi kwenye hali ya kawaida, hii nibaada ya Mimi kumtafuta mwanasaikolojia hapa jamii forum naye akajitolea kunisaidia
Pole sana mama Faraja! Hakika mitihani ni sehemu ya maisha yetu.
Asante asikwambie MTU sio kwa maumivu hayaPole sana kwa ilo likuumizalo
Ni kweli kuna vitu uwa vinaumiza sana but sometimes uwa ni lazima vitokee ili tuzidi kujifunzaAsante asikwambie MTU sio kwa maumivu haya
Fanya mpango uwamalize kabla hawaja kumalizaShida ni pale unapojua kuwa uhai wako upo mashakani kwa kuwa mgoni na aliyekuwa mkeo wanaitafuta roho yako. Mambo si rahisi kama unavyofikiri. Hawaamini kama umenyamaza yameisha wanatafuta kukuua.
Kweli kabisaaNi kweli kuna vitu uwa vinaumiza sana but sometimes uwa ni lazima vitokee ili tuzidi kujifunza
Pole sana, same scenario ilinitokea but 2015, naelewa unachopitia mkuu. Endelea kumsaidia.Mimi sitasahsu ucku wa tarehe 4/4 nikiwa nimelala na mke wangu aliyekua mjamzito wa miezi 6 aliniamsha huku akilia sana kwa maumivu ya tumbo, nilijaribu kumbembeleza ila nikaona hali inazidi kuwa mbaya ikabidi nimpeleke hospital huku akilia njia nzima, kufika hosp madokta wakampokea kumpima wakaona mtt hachezi, wakampeleka theatre, wakampa msaada akajifungua mtt wa kike amekufa, tulikaa pale hadi asbh, tokea siku ile mke wangu amekua mtu wa huzuni sana sometime analia sio yule niliyemjua, imebidi nibadili life style nawahi kurudi nyumbani ilimradi awe anachangamka kidg!
Vita havina machoFanya mpango uwamalize kabla hawaja kumaliza
Fanya hivyo haraka sio jambo zuri ila hakuna namna.
Kumpoteza mamangu mzazi tarehe 12/12/2017. Umekuwa mwaka wenye majaribu sana lakini yote kwa yote namshukuru Mungu kwa wema na upendo wake usio na kikomo. Bila shaka kwa nguvu zake mwaka huu 2018 utakuwa na mibaraka zaidi. Mungu huwa hakosei na uwepo wetu katika sayari hii nzuri unategemea wema na uwezo wake. Tusichoke kumuomba na kumwabudu.