EeDuuuuh
EeDuuuuh
Pole sana kwa ilo likuumizaloNi mengi ila moja linaloniuma wacha nife nalo ila kusahau haiwezekani
Pole sana..
Pole sana mkuu but yatapita utasahau tuNikiona krikuu au box au mfuko wa sandarusi huwa nakumbuka tukio zima.
Tupe story kidogo ilikuajeNILIKIMBIA UCHI BAADA YA KUFUMWA NA MJEDA
Sasa hapo sumu atakuwa alitiliwa na mke mpya au wa zamani. Na mimi nilitiliwa sumu nikanywa mziwa nilitapika balaa. Sasa hivi hawawezi kunipa sumu nipo makini ni hatari. Ndoa ni kifo ndugu yangu.Pole sana..
Kuna rafiki yangu mmoja nae alipata mkasa kama huu....siku ananiambia sikuamini..maana alikua mtu wa mzaa na furaha muda wote.. kumbe ndani kabeba mzigo mkubwa...alikua kaishazaa watoto wawili na huyo mke wake....then mwanamke kamwacha kwa kejeli kaenda kuolewa na jamaa wa darasa la saba mwenye pesa...huyu akieachwa alikua na Masters....mbaya zaidi...hakuolewa mbali na walipokua wanaishi mara ya kwanza.
Jamaa alitafuta mke mwingine kaoa....kapata mtoto...
Haikupita muda jamaa alikufa...inasemekana alitiliwa sumu...kwenye chakula..hii ilikua 2016..
Pole sana mkuu, Mungu wavushe salamaMimi sitasahsu ucku wa tarehe 4/4 nikiwa nimelala na mke wangu aliyekua mjamzito wa miezi 6 aliniamsha huku akilia sana kwa maumivu ya tumbo, nilijaribu kumbembeleza ila nikaona hali inazidi kuwa mbaya ikabidi nimpeleke hospital huku akilia njia nzima, kufika hosp madokta wakampokea kumpima wakaona mtt hachezi, wakampeleka theatre, wakampa msaada akajifungua mtt wa kike amekufa, tulikaa pale hadi asbh, tokea siku ile mke wangu amekua mtu wa huzuni sana sometime analia sio yule niliyemjua, imebidi nibadili life style nawahi kurudi nyumbani ilimradi awe anachangamka kidg!
Asante sana hii imenifariji sana kwamba nipo makini mwenzangu alikufa mimi nilifanikiwa kumdhibiti kwa hali yoyote ile.Pole sana..
Kuna rafiki yangu mmoja nae alipata mkasa kama huu....siku ananiambia sikuamini..maana alikua mtu wa mzaa na furaha muda wote.. kumbe ndani kabeba mzigo mkubwa...alikua kaishazaa watoto wawili na huyo mke wake....then mwanamke kamwacha kwa kejeli kaenda kuolewa na jamaa wa darasa la saba mwenye pesa...huyu akieachwa alikua na Masters....mbaya zaidi...hakuolewa mbali na walipokua wanaishi mara ya kwanza.
Jamaa alitafuta mke mwingine kaoa....kapata mtoto...
Haikupita muda jamaa alikufa...inasemekana alitiliwa sumu...kwenye chakula..hii ilikua 2016..
Pole mkuu huyo atarudi analia mm wangu hakumaliza mwezi akaanza kulia njaa pia mungu huepusha jambo kabla hujamfanya wifeUnamsaidia mtu kwa kila hali ukitegemea kuwa ndio chaguo lako daah..mwisho wa siku anakwambia kirahisi tu sina mpango na wew nimempata smart one zaidi yako daah wakati ulimsaidia ktk kila hali magonjwa,makaz malazi..daah inauma sana
Huu mwaka ulikuwa mgumu sana kwangu
Kweli yatapita lakini mziki wake si wa sayari hii. Unatafakari mpaka kweli elimu kitu cha muhimu bila elimu huishi miaka mingi unakufa.Pole sana mkuu but yatapita utasahau tu
PoleUnamsaidia mtu kwa kila hali ukitegemea kuwa ndio chaguo lako daah..mwisho wa siku anakwambia kirahisi tu sina mpango na wew nimempata smart one zaidi yako daah wakati ulimsaidia ktk kila hali magonjwa,makaz malazi..daah inauma sana
Huu mwaka ulikuwa mgumu sana kwangu
Daah pole sana mkuu..but yatapita just relax kubaliana tu kwamba ishatokeaUnamsaidia mtu kwa kila hali ukitegemea kuwa ndio chaguo lako daah..mwisho wa siku anakwambia kirahisi tu sina mpango na wew nimempata smart one zaidi yako daah wakati ulimsaidia ktk kila hali magonjwa,makaz malazi..daah inauma sana
Huu mwaka ulikuwa mgumu sana kwangu
Ukikubaliana na hali halisi utaona ni simple tu ila kama bado unajiulza why imekua hivi why me hizo itakuchukua mdaKweli yatapita lakini mziki wake si wa sayari hii. Unatafakari mpaka kweli elimu kitu cha muhimu bila elimu huishi miaka mingi unakufa.
Kwa kosa gan??Nimepelekwa Polisi kwa mara ya kwanza.
PoleeeJambo hilo hilo lilinikuta namimi mwaka huu ndugu yangu....yaani hivyo hivyo.
Shida ni pale unapojua kuwa uhai wako upo mashakani kwa kuwa mgoni na aliyekuwa mkeo wanaitafuta roho yako. Mambo si rahisi kama unavyofikiri. Hawaamini kama umenyamaza yameisha wanatafuta kukuua.Ukikubaliana na hali halisi utaona ni simple tu ila kama bado unajiulza why imekua hivi why me hizo itakichukua mda
aisee,hiyo sasa hatari!Shida ni pale unapojua kuwa uhai wako upo mashakani kwa kuwa mgoni na aliyekuwa mkeo wanaitafuta roho yako. Mambo si rahisi kama unavyofikiri. Hawaamini kama umenyamaza yameisha wanatafuta kukuua.
Haa usicheze na ndoa. Ndoa ni kifo.aisee,hiyo sasa hatari!
Very sadPole sana..