Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Hello
Ikiwa tumebakiza masaa kumaliza mwaka lets share ni kitu gan kilichokutokea 2017 ambacho hutokuja kukisahau kamwe..my side ni mengi yame happen but kubwa kubwa kuunguliwa na vitu vyangu kwa ajal ya moto source jiko la gas sitahau aisee coz imenibd nianze upyaaaa kunua vtu vya ndan and others...VP wenzangu kipi hutosahau kilichokutokea huu mwaka??