Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,847
Sintoweza kumgombeza mpenzi/ mke wangu mbele za watu
Sintoweza kumwacha alalamike au alie kwsbb yangu au ndugu yangu
Sintokaa nimle mke wangu tigo.
Sintoacha kumuelekeza au kumuongoza kwani najua jinsia hiyo ni watu dhaifu.
Sintoacha kumsikiliza hata akiongea ujinga.
Sintomuacha aaibike mbele za watu kwa mavazi yake kwani Aibu yake ni Aibu yangu.
Ila ntahitaji HESHIMA yake tu na UTII.
Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie.