Kitu gani ambacho huwezi mfanyia mpenzi wako?

Kitu gani ambacho huwezi mfanyia mpenzi wako?

Ww unakataa kutoa 0713. Unategemea mwanume atakupenda kweli
Mm huo 0713 ukinipa nazidi kukupenda na ninaeza kukupa uchumi wangu wote u control ww
 
Ww unakataa kutoa 0713. Unategemea mwanume atakupenda kweli
Mm huo 0713 ukinipa nazidi kukupenda na ninaeza kukupa uchumi wangu wote u control ww
Asee huo uchumi wako una nini cha zaidi???? Na huo upendo wako ni uzima wa milele????...acha tu nivikose...
 
hata iweje i can't let her tears flow out infront of me for any reason!!! ila akinicheat hata iweje i can't accept her apology.
A real man like me.....huu ndio uanaume halisi mkuu.
 
mi ntampa tu chochote kilicho ndani ya uwezo wangu coz nampenda sana km yeye anavonpenda ati
 
Habari JF.....

Hivi ni kitu gani ambacho hutakaa uje umfanyie mpenzi wako hata kama unampenda vipi...

Kwa mimi sitakaa nije nimpe tigo hata akitishia kuniacha...
I know hawezi omba(ila kwa mfano ikatokea)...

Kitu cha pili siwezi msaliti hata iweje labda aamue kuniacha[emoji85] .

Kwako wewe je ni kitu gani huwezi mfanyia hata iweje....

View attachment 430128
Nami sinto kusaliti
 
Back
Top Bottom