Kitu gani ambacho huwezi mfanyia mpenzi wako?

Kitu gani ambacho huwezi mfanyia mpenzi wako?

Ukiondoa yoote yaliyokwisha kusemwa (ambayo ni ya Msingi) mimi sitaweza kumuacha baba watoto wangu labda aniache yeye ila a cheat achitivyo akirudi huyo wangu na atafata taratibu zangu
Jana nilikua kwenye kitchen party, kuna mama alikua anamwambia bi.harusi mtarajiwa maneno kama hayo,

"hata mumeo akirudi asubuhi, mpokee, mpe pole, muandalie chai huku ukimuelekeza bafuni, Eenh amecheat usiku kucha lakini je si amerudi kwako? Wewe ndio simba jike, jiamini mwanamke, muache aende lakini atarudi tuuuuu....."

Good point.
 
Habari JF.....

Hivi ni kitu gani ambacho hutakaa uje umfanyie mpenzi wako hata kama unampenda vipi...

Kwa mimi sitakaa nije nimpe tigo hata akitishia kuniacha...
I know hawezi omba(ila kwa mfano ikatokea)...

Kitu cha pili siwezi msaliti hata iweje labda aamue kuniacha[emoji85] .

Kwako wewe je ni kitu gani huwezi mfanyia hata iweje....

View attachment 430128
Tumekuelewa, sasa unaweka hiyopicha kwa ajili gani?
 
Jana nilikua kwenye kitchen party, kuna mama alikua anamwambia bi.harusi mtarajiwa maneno kama hayo,

"hata mumeo akirudi asubuhi, mpokee, mpe pole, muandalie chai huku ukimuelekeza bafuni, Eenh amecheat usiku kucha lakini je si amerudi kwako? Wewe ndio simba jike, jiamini mwanamke, muache aende lakini atarudi tuuuuu....."

Good point.
Ukikimbia utakimbia wangapi wakati karibu woote wamefinyangwa na akili moja, mwisho utakua used na kugeuka skrepa
 
siwez mpa 0713 hata ardhi igeuke kuwa mbingu
Safi sana. Wanawake wa hiv ndiyo wanafaa ktk jamii.
Mm hii kitu siwezi kutumia hata nikipewa bure na pia kunyonyana sehemu za siri siwezi sbb naona km nalamba kinyesi.
UTI, FUNGUS, MKOJO, JASHO hapana halafu na sehemu yenye ilivyonyeus km speaker.
Mwanaume anayeomba tigo hawezi kukuheshimu, kukupenda wala kukuoa.
 
"Kumpiga"! Hata afanye nini sitokaa niunyooshe mkono wangu nimpige, ni bora tukaachana tu.
 
Back
Top Bottom