Kitu gani ambacho huwezi mfanyia mpenzi wako?

Sitaa nije nitumie condoms kwa wapenzi wangu hata siku na moja

Raha niipatayo kunako aiseee haielezeki (Nawapimaga UKIMWI kwanza pindi tuanzishapo mahusiano)
Yes kupima muhimu,esp kwa wewe wa kav kav[emoji12]
 
Sitaa nije nitumie condoms kwa wapenzi wangu hata siku na moja

Raha niipatayo kunako aiseee haielezeki (Nawapimaga UKIMWI kwanza pindi tuanzishapo mahusiano)
Na magonjwa mengine huwa unawapima yanayoambukizwa kwa njia ya sex?
 
...kwanini tigo?...na umeshindwa kubaki nako hako 'kamsimamo' kako hadi umekaanzishia uzi kupima response ya wenzio!...
...amini nakwambia,kama kaweza kukugonga kindezi hata kwenu hawamjui,hata hiyo tigo utampa tu:wala haitaji kukutishia kukuacha!
...aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea!!
 
Inaonekana anatamani kutoa ila kajiwekea msimamo ambao haueleweki ni wa nini.
 
Back
Top Bottom