Chezea mpira na sio Israel
Hamas walipo sikia israel imefanikiwa kuwa na missile defense system (iron Dome) hasa kwa missile za short range kama zile zinazo toka gaza walidharau sana.
Wakakusanya missile za kutosha na kuhifadhi ili waichakaze israel kwa missile zao walizo pewa na Iran.
Mara ya kwanza walikua wanarusha moja moja na kila missile wanayo rusha ambayo ilikua inaelekea kwenye makazi ya wayahudi ilidakwa hewani na Iron Dome, na zile missile ambazo zilikua haziendi kwenye makazi ya watu ziliachwa kwani Iron Dome ina uwezo wa kujua missile itatua wapi kabla ya kufyatua missile ya kuipoteza missile inayo kuja.
Hamas waka kaa chini kujadili hujuma za israel kutungua missile zikiwa angani , wakapata mawazo kuwa inabidi warushe missile nyingi kwa pamoja ili kuioverload Iron Dome.
Kazi ikaanza upya , ktk jaribio la kwanza walirusha dozen of missile uelekeo mmoja ili kuichanganya iron dome, cha ajabu missile zote zitadakwa, wakati huo makazi ya wanajeshi wa hamas yakichakazwa na IAF.
Sasa hamas wamehamia kwenywe mahandaki baada ya vita vya anga kushindikana.
Wakati watu gaza wanakufa mkuu wa hamas anatembelea ndege utadhani airforce one ya obama, biashara haram ni nyingi duniani[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
View attachment 359876