Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
usikute huyo hana habari kuwa steve job alikua msyriasio kweli maana marekani ni mchanganyiko wa kila mtu kutoka kila taifa na kila mmoja amechangia.
nicola tesla,thomas edson,bill gate steve job fuatilia history of evolution of technology. hawa wa sasa wanaboresha vile vilivyofanyiwa kazi na kurahiswa. nyingi huwa ni story japo sikatai kuwa wako vzr