Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Hiyo si stealth

Una maana iyo f-35 ni stealth fighter sio kama f-117 iliyoangushw serbia au ile aina ya B-2 iliyonekana kwenye rada maeneo ya nevada.hapo nimekuelewa mkuu kweli marekani wanatisha wanatengeneza mpaka stealth aircraft
Marekani ipi? Umeambiwa ni Israel
 
Vita vya 3 vinakuja na madhara yatakuwa ni makubwa kiasi cha kuangamizana na nuke.

Lakini vita vya NNE aah ni fimbo, mawe, mapanga, na mikuki tu
 
Vita vya 3 vinakuja na madhara yatakuwa ni makubwa kiasi cha kuangamizana na nuke.

Lakini vita vya NNE aah ni fimbo, mawe, mapanga, na mikuki tu

Vita ya tatu kwa masilaha haya dunia haitobaki salama.
Maana nuke ni hatari zikitumika hata wajapani hawasahau kamwe.
Hayo makombora ya nuclear hayazuiliki kwa sasa.
Tunachoskia ni vitisho tu na matetesi ya vita ila ipo siku haitaepukika.
 
ha ha ha,mageneral wa israel hawaendagi front mkuu,wako wamejificha tel aviv,we huoni hata netanyau hasafiri ovyo,ushamsikia kaja afrika tofauti na misri?,hata ulaya anaenda mahali anapojuwa watamlinda vizuri,mwoga mnoo,sasa generali angekuwepo ndani ya zile humvee unadhani angepona kweli?

Netanyahu yupo East Africa now,imekuwaje tena?
 
Mijitu blacks kweli ni kama nyumba chakula ya simba. Wanakufa na ufukara na njaa eti leo hii wanashabikia na luwalaani wengine. Maskini hawajijui hawajitambui Mijitu ipo ipo tu duniani. Wenzetu wanaishi maisha ya kiubinadamu sie tumebaki keleleeee tuuu. Asili yetu.
 
Hiyo ndege sifa yake mojawapo haionekani kwenye rada. Kumbuka iran inataka kuishambulia israel na kuifuta muda wowote, hiyo ndege sio kwa ajili ya palestina,

Wapelentina wametengenezewa mwavuli unao tungua kila kitu kinacjo rushwa toka gaza hasa missiles kabla hazija fikia makazi ya watu system inaitwa Iron Dome.
Wametengenezewa na Nani mkuu??
 
Wayahudi wana siri kubwa, wao wanampa tenda mmarekani ya kutengeneza ndege zao zote za kivita huku wakisimamia utengenezaji wake kwa kutumia watalaam wao.

Zikishwa tengenezwa wanazinunua, wanazipeleka kwenye workshop zao kwa ajili ya marekebisho ili hizo ndege zikidhi viwango vya mazingira yao kivita.

Mmarekani ametoa kibali cha marekebisho ya ndege zake kwa israel pekee yake na mkataba hauruhusu israel kuifanyia marekebisho ndege ya mmarekani nchi nyingine yoyote duniani.

Kwa maana hiyo F-22 ya mmerekani ni tofaufi sana na ndege hiyohiyo iliyo kwenye jeshi la anga la israel.

Wanaoukumbuka miaka ya nyuma ufaransa iliwahi kuisaidia iraq kutengeneza kinu cha nyuklia, hicho kinu kilikua kinalindwa usiku kucha na rada za kutosha. Cha ajabu wayahudi walikishambulia usiku bila ndege zao kuonekana kwenye radar .

Waarabu waliwahi kumjia juu mrusi wakidai anawauzia rada mbovu kwa sababu hazioni ndege za israel bila kujua kuwa stealth technology kwa myahudi ilianza kutumika miaka mingi sana.

Ukweli jamaa wana technologia ya anga ambayo hata marekani hana.

Ndege zao zinaumahiri wa hali ya juu, rubani wao wa kijeshi ni moja za ajira zinazoajiri vichwa matata vya nchi hiyo.

Kwa hiyo hiyo F-35 stealth fighter jet wanaenda kuitengeneza upya na kuweka makorokoro kibao ya kieletronics ya kufa mtu.

RADAR ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE[emoji28]
Ni kweli mkuu, kitu cha operation opera "raid on the reactor"
Those guys are genius
 
kuna operation moja waliifanya syria kwe mwaka kma 2007(operation ochard) hivi pia walilipua suspected nuclear reactor sasa cha ajabu jamaa walitumia f-15 tu ambayo kimsing si stealth lakin walievade syrian air defense wakalipua kinu then wakarud israel wakipitia turkey airspace,jamaa wakinunua ndege huwa wanaomba na haki ya kuzimodify ili kufit mahitaj yao
Hata operations opera walitumia hizo hizo f15!
 
Umeelezea vizuri na swali hilo ni la msingi sana, USA alivyombabe na mwenye kupenda sifa na majigambo asingepeleka hizo ndege katika space za wenzake?

Walidharau sana waliposkia ndege yao imeshushwa na Iran, walipinga wakidai ni normal aircraft malfunction na Iran hana huo uwezo.

Baadae wakaanza kuomba warudishiwe ndege yao.
Warudishiwe vipi kwani kulikuwa na makubaliano ya mkataba walipoingia anga ya Iran!

Mwaka 2010 nilihudhuria maonyesho ya JWTZ pale Airwing nikamuuliza officer mmoja wa jeshi hivi mmejipanga vipi kwa electronic warfare kuendana na advancement ya technology ya sasa nilirefer mataifa makubwa ya Russia, USA nk. Alinijibu huko sisi bado hatuna hizo tech na hata plan ya kujipanga haikuepo. Sijui leo ni miaka 6 imepita hali ikoje.

Sasa kama huku hiyo Stealth itafanya kazi na ndege haitoonekana lakini sio kwa ma giant wa military tech.
Unakumbuka ndege vita ya Iran ilishindwa kuiona F22 raptor kwenye radar take kumbe F22 IPO eneo hilohilo inaizunguka ndege juu chin kuangalia silaha sake baadae ilipomaliza ndo ikampa signal pilot WA Iran aondoke eneo hilo.... Iran kwa US bado sana... Jaribu kugoogle "F22 taunted Iranian phantom".
 
Inakubidi ukae chini na kufikiri sn ndo utajua mantic ya Comment hiyo,,

Kwa kukusaidia tu ni kwamba Mungu humsaidia mwanadamu kutengeneza ama kuvumbua kitu kwa lengo fulani alilo kusudia yeye mwenyewe,,

Hivyo kusudio kubwa la Mungu kufanikisha Ugunduzi wa ndege yenye uwezo mkubwa wa namna hiyo kwa taifa la Israel,, kusudio lake kubwa ni kulilinda taifa hilo kipenzi chake,,
maana aliahidi kulilinda daima.
Umepotea mkuu, Israel ya sasa sio ile uliyoisoma kwenye Biblia, hapo imebaki jina tu, au unataka kusema kwamba Mungu wa wapalestina siye Mungu wa waisraeli? Au unataka kusema kwamba mateso wanayoyapata wapalestina hasa watoto wadogo wanaouawa kwa kurushiwa mabomu na askari wa Israel hawapendwi na Mungu na kwamba Mungu anafurahia mateso yao?





 
askari wa saddamu kwani walipigana vita wale?,
walivua uniform na kuingia mtaani,
iran siyo iraq,

nambie kwanini marekani hajamshambulia iran?au bado anatafuta nchi za kumsaidia?
A matter of time
 
Back
Top Bottom