Just strictly typing tu haiwezi kufanya hiyo language kuwa superior kama unavyodhani, hakuna language developed kwa kutype tu ovyoovyo. Language development hupitia phases nyingi na kutestiwa intensively, tena huendelea kuboreshwa kwa kutoa versions. Siku hizi kuna editors nzuri kwa kila language ambazo zinaweza kukupa alert na kufanya autocompletion wakati wa coding ili kuminimize errors (logical errors inategemea na jinsi unavyofikiria na kuprogram - hiyo ni juu yako). Strictly typing inategemea na umakini wa programmers. Kuna languages sasa hivi ambazo zina very clean syntax na ni very well developed kuliko hiyo ADA (Angalia languages ambazo zinatumika kudevelop most of Linux variants software/packages kwa sasa, mfano Python). Halafu unaongelea ADA kwa sababu ya experience uliyonayo, kama anavyosema huyu mdau:
"One of the worst problems that beginning programmers can have is the belief that the way things are done in their first language is just The Way Things Are Done."
Kuhusu ADA, watu wana maoni tofauti na ya kwako, na sifa zinazofanya ADA iwe nzuri ni tofauti na jinsi unavyodai au labda ni hizohizo lakini huwezi kueleza ueleweke:
is Ada really gone?
Is it worth to learn Ada instead of another languages [c++, c#]?