Kwanza hakuna ndege duniani ambayo ni completly stealth... Wanchofanya ni kureduce radar signature as much as possible yan kama kwwnye radar ndege inaonekana ukubwa wa punje ya harage basi kwa hizo 5th generation stealth fighter itaonekana ukubwa wa punje ya mtama... Ila hayo yote yanawezekana kwa wenye advanced radar systems kna russia na usa na wengine wakubwa dunia ila kwa sisi tanzania tunaotumia xband radars ndo itapita kimya wala hatutaona hata kidogo.... Kingine kuadd hapo n kwamba kila system in uzaif wake ndo mana f117 nighthawk ilitunguliwa na warusi ila zile steatlh black hawk zilizoenda kumuua osama bin laden kule pakistan hazikua detected kwa maana wale mapilailot wanajua jins ya kukwepa radar signature.. Ila kiujumla ni advance fighter kuliko zote kwa sasa.. For more info wikipedia.com somen
Hao Iran Tanzania pekee inaweza kuwafuta kwenye uso wa dunia
Hahahaaaaaa sawa mkuuKwa mjibu wa Elungata ambaye aliwasifia kwa uwezo wa kivita bila kutumia vyombo vya maangamizi, kwa sababu amesema Marekani inatumia silaha za maangamizi, Iran itapigwa mchana kweupe na Tanzania, maana sisi kwa mbinu za kivita, hasa vya ardhini tunatisha, bado hatujatumia backup yetu uchawi, ili Iran ikirusha tu ndege tunazigeuza kuwa kunguru, achana na sisi!
Hahahaaaaaa sawa mkuu
Aaaaah kumbe!!!????Kuna wazee wanasema usidhani hatuna uwezo wa kujilinda dhidi ya adui yeyote yule duniani! Hivi umesahau George Bush alivyowahi kupiga mkwara kuwa hakuna nchi itaitisha Marekani kivita isipokuwa tu Tanzania ambayo wana uwezo wa kupigana nayo kwa muda wa nusu saa, nchi zingine zote hazifiki hata dakika 3? Kuna siri nyuma ya Tz.
what about force projection,or blue water navy?Kwa mjibu wa Elungata ambaye aliwasifia kwa uwezo wa kivita bila kutumia vyombo vya maangamizi, kwa sababu amesema Marekani inatumia silaha za maangamizi, Iran itapigwa mchana kweupe na Tanzania, maana sisi kwa mbinu za kivita, hasa vya ardhini tunatisha, bado hatujatumia backup yetu uchawi, ili Iran ikirusha tu ndege tunazigeuza kuwa kunguru, achana na sisi!
Kwa mjibu wa Elungata ambaye aliwasifia kwa uwezo wa kivita bila kutumia vyombo vya maangamizi, kwa sababu amesema Marekani inatumia silaha za maangamizi, Iran itapigwa mchana kweupe na Tanzania, maana sisi kwa mbinu za kivita, hasa vya ardhini tunatisha, bado hatujatumia backup yetu uchawi, ili Iran ikirusha tu ndege tunazigeuza kuwa kunguru, achana na sisi!
Mkuu Hao wairan tunawapelekea kikosi cha nyumbu tu kinawatosha Kama bado jamaa anabisha aulize congo kilichotokea Ndio atajua Tanzania tunavyotisha
haha ha,unajua hapa tunakatana tu ngebe,not something serious,ujue saa ingine inakera kuona mtu msomi na degree zake,ila likija suala kuhusu israel common sense ina evaporate,
israel ni binadamu tu kama wanadamu wengine,wao sio binadamu zaidi kuwazidi binadamu wengine
ManyoyaaaIn magufuli i trust..... tutafika tu huko
Acha uwongo wewe....Yani iyo B-2 ndo hamna kitu kabisa we ndege gani inachagua hali ya hewa sehemu zenye mvua haiwezi ikafanya kazi
Rada la kiraia lile sio la kijeshi. Lina uwezo wa kuona fastjet ndani ya nautical miles chache na sio vinginevyo.Maelezo yako mazuri mkuu. Je radar yetu iliyonunuliwa na Benjamen Mkapa? Vipi huo sio wizi na upotevu wa hela ukizingatia wenye nchi - ilikonunuliwa walisema ni mbovu?
swali ni je,atakuja kweli,au ataingiwa na woga tena?,
Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,
Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,
Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,
Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.[/QUO
duh cjui nikuelezee VP maana inaonekana ulisoma bible juujuu!
Kwa akili zako "kisoda" israel adui wake ni palestians only??????.Israel ndege yenye nguvu namna hiyo ya nini wakati wapalestina wanatumia mawe?
Ngoja ninyamaze nimetoka kupigwa ban Jana tu ndio nimefunguliwa.Kwa akili zako "kisoda" israel adui wake ni palestians only??????.
Israel wanapewa misaada na marekani.....Hizo ndege hajapewa kama msaada , amenunua