Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Juzi juzi hapa walimwua General wao mmoja aliye kuwa ana randaranda huko syria na maofisa wa hesbolla. Wakala kichwa na iran ikaapa kulipiza kama kawaida na maneno kibao. Niambie nini walifanya kama sio kuufyata .
nadhani ulikuwa bado hata hujajiunga hapa jf,tafuta nyuzi za wakati huo utaona iran walijibu ndani ya masaa 48,na mpaka leo israel amekaa kimya
 
naona facts zako ziko mixed.
Iran sio ndo anaetaka vita,bali israel na marekani ndo wanaosema waishambulie iran,
eti kuna mtu alisemaga atawafuta kwenye ramani,sasa ndo wanatumia kisingizio hicho kupanga kuishambulia iran,
wakati wao wanapanga kuishambulia iran,iran nao wanajipanga kujibu mashambulizi iwapo watashambuliwa
una matatizo ya kusahau ww..mi nlikua nakwambia kuwa kukamatwa kwa us marines au bombing ya us troops beirut si justification ya nchi kwenda vitani kumbe mwenzangu ulikua ushasahau hata tunachoongea!!!!kaazi kwelikweli
 
Eleza walicho kijibu.
nadhani ulikuwa bado hata hujajiunga hapa jf,tafuta nyuzi za wakati huo utaona iran walijibu ndani ya masaa 48,na mpaka leo israel amekaa kimya
usiongopee watu bhana amna cha maana zaidi rocket moja liliorushwa golan na kuua askari mmoja wa israel..kama kuna special walichofanya utueleze
 
una matatizo ya kusahau ww..mi nlikua nakwambia kuwa kukamatwa kwa us marines au bombing ya us troops beirut si justification ya nchi kwenda vitani kumbe mwenzangu ulikua ushasahau hata tunachoongea!!!!kaazi kwelikweli
kwahiyo justification ni mpaka iran iivamie marekani au israel?.
Kama ndo unasubiri hivyo utachoka kungoja maana doctrine ya iran inasema wao hawashambulii bali hujibu mashambulizi,
doctrine ya israel inajulikana ni pre emptive strike,kwahiyo kwa vyovyote ustarajie iran kuanzisha vita na israel ama marekani,au ama nchi yeyote ile,bali iran iwapo itashambuliwa ndo itajibu,sasa hapo matokeo yatakuwaje baada ya iran kujibu,hatujui
 
usiongopee watu bhana amna cha maana zaidi rocket moja liliorushwa golan na kuua askari mmoja wa israel..kama kuna special walichofanya utueleze
roket inafyatuliwa kupiga over the horizone,ile ilikuwa direct fire targeting a moving vehicle carrying israel military officer on patrol,kumbe unafikri rocket inaweza tumika kulenga gari ama kifaru kilicho kwenye upeo wa macho?,
sikuwepo eneo hilo ila casualties ilikuwa zaidi ya mtu mmoja kama media zilivyoandika
 
Attack[ edit]
On January 28, 2015, at 11:25am ( UTC+02:00), a Hezbollahunit, "al-Quneitra Martyrs' group" (, a reference to the attack in Quneitraagainst a Hezbollah convoy), consisted of 5 militants, [9]fired anti-tank missiles(supposedly Kornet) [10]at two Humveesof an Israeli military convoy of Tsabar Battalion of Givati Brigadein the Israeli-occupied Shebaa farmsnear the Lebanon border. Hezbollah immediately issued a brief statement [11]claiming responsibility for the attack. [12]A Lebanese armyspokesman said the missile was not fired from Lebanese territory. [13]
Two hours after the initial attack, Israel fired at least 50 artillery shells into Shebaa Farms and the surrounding hills and South Lebaneseborder villages, and Israeli warplanes carried out mock air raids over the scene of the attack. [13] [14]Hezbollah responded by mortar shells against Israeli positions on the Mount Dov area along the northern border. [8]
Commander of the UNIFILforces Major General Luciano Portolanocalled all parties to restraint in order to prevent any escalation of the situation. No shelling was heard after calls for restraint came out around 2 pm. However, Israeli warplanes still hovered overhead. [12]

source-wikipedia
 
roket inafyatuliwa kupiga over the horizone,ile ilikuwa direct fire targeting a moving vehicle carrying israel military officer on patrol,kumbe unafikri rocket inaweza tumika kulenga gari ama kifaru kilicho kwenye upeo wa macho?,
sikuwepo eneo hilo ila casualties ilikuwa zaidi ya mtu mmoja kama media zilivyoandika
Sasa mkuu huko ndiko kulipiza, haaaa, watu wameangusha General wewe unakuja kufamyatua ka anti tank missile .[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Iran itabaki kuuza maneno lakini inaujua vizuri mno mziki wa tel aviv.

Siku akijaribu kurusha even a single missile, iran itageuka majivu.
 
ha ha ha,mageneral wa israel hawaendagi front mkuu,wako wamejificha tel aviv,we huoni hata netanyau hasafiri ovyo,ushamsikia kaja afrika tofauti na misri?,hata ulaya anaenda mahali anapojuwa watamlinda vizuri,mwoga mnoo,sasa generali angekuwepo ndani ya zile humvee unadhani angepona kweli?
 
at least basi hezb walivuka mpaka mpaka wakawa within range,vipi kuhusu waisrael waliofanya ambush kwa ndege wakiwa maelfu ya feet angani....?,jamaa waoga kweli kama vile hawatakufa,
mbaya zaidi baada ya tukio wakafanya geresha kupiga mizinga na kurusha ndege bila kupiga kitu na hasira wakazimalizia kwa askari wa UN,
JIULIZE,mbona israel hawakuesclate,kwanini waliogopa kuendelea na vita kwasababu actually vita vilikua on
 
roket inafyatuliwa kupiga over the horizone,ile ilikuwa direct fire targeting a moving vehicle carrying israel military officer on patrol,kumbe unafikri rocket inaweza tumika kulenga gari ama kifaru kilicho kwenye upeo wa macho?,
sikuwepo eneo hilo ila casualties ilikuwa zaidi ya mtu mmoja kama media zilivyoandika
kwa akili hizi hata simlaumu myahudi alivyowatia kibano miaka ile maana bado hamjajielewa
 
ha ha ha,mageneral wa israel hawaendagi front mkuu,wako wamejificha tel aviv,we huoni hata netanyau hasafiri ovyo,ushamsikia kaja afrika tofauti na misri?,hata ulaya anaenda mahali anapojuwa watamlinda vizuri,mwoga mnoo,sasa generali angekuwepo ndani ya zile humvee unadhani angepona kweli?
wangekuwa waoga wasingeweza survivie kwe eneo hostile kama lile mkuu wamezungukwa na maadui kila angle kwa miaka yote hio
 
hahaha ni ww uliesema marekani anaiogopa iran saizi unasema israel imeweza kusurvive coz inalindwa na marekan....something z wrong hapo
Huyu jamaa hajui anacho kitetea, yeye ni kudownload wikipedia na kutumia hapa hata hasomi.

Mkuu IDF ni homa ya middle east.
 
Ingia YouTube tafuta documentary moja ya jamaa wawili mmoja muisrael wanafanya interview juu ya kitabu Chao Kuhusu activity za mossad na Israel spy network.

Humo utagundua waisrael spy wao unakuta mtu mmoja anammajina kama kumi ya karibu kila taifa. Utajua spy wakiarabu weñgi waliyokea Argentina ili kufuta I'd zao isionekane ni waisrael. Kuna wengine walipenya hadi kuwa mabest friends Wa wake Wa marais na watu wenye huaminiwa na kuheshimiwa ktk nchi maadui Wa Israel. Wengine walikuwa viongozi wakisafiri kuvujisha mipango ya Waarabu Israel. Kulipuliwa ndege za Waarabu haikuwa miujiza.
Pia mtafute Moshe Diane jamaa anachongo, alivyowafundisha Wamisri adabu. Aliwahi kupiga vifaru Saba vya Syria akiwa na kifaru kimoja.
Kuna Novel moja pia ya Gordon Thomas inaitwa Mossads secret warriors ina mambo mengi kuhusu operations tofuati za Mossad ,( GIDEON'S SPIES )
 
hahaha ni ww uliesema marekani anaiogopa iran saizi unasema israel imeweza kusurvive coz inalindwa na marekan....something z wrong hapo
hahaha ni ww uliesema marekani anaiogopa iran saizi unasema israel imeweza kusurvive coz inalindwa na marekan....something z wrong hapo
hicho ni kijembe,naona unafurahi kwelikweli,reasoning yako inaweza kuwa 55% ,ila ushabiki mwingi wa kiimani,unacloud reasoning capacity yako
 
safi sana chief, hivi vitu vimetapakaa mitandaoni na ni free vinasaidia kidogo kuijua dunia yetu inavyoendeshwa katika ulimwengu huo
Kuna Novel moja pia ya Gordon Thomas inaitwa Mossads secret warriors ina mambo mengi kuhusu operations tofuati za Mossad ,
 
Huyu jamaa hajui anacho kitetea, yeye ni kudownload wikipedia na kutumia hapa hata hasomi.

Mkuu IDF ni homa ya middle east.

Kumbuka watu kama Elungata ni mod wa JF, lengo lake ni kubisha ili watu waendelee kuchangia mada, na hawa jamaa wanalipwa. JF ina mikakati ya kibishara sana kwa sasa, kila jukwaa lina mamods watatu au zaidi, kuna watu hata kama uposit saa ngapi, unakuta huyu hapa. Huyu jamaa sources zake ni wikipedi na Google, habari zilizoandikwa na waarabu!
 
Back
Top Bottom