JF-Kungu
Member
- May 25, 2016
- 16
- 16
Ada ni Very Strictly typed na hakuna mpego wa dosari ukilinganisha na lugha yote ya programmingHivi code haiwezi leta dosari hata kama kuna bugs? Hivi dosari ni kwa sababu ya language au bugs - bad programing?
Ada ni Very Strictly typed na hakuna mpego wa dosari ukilinganisha na lugha yote ya programmingHivi code haiwezi leta dosari hata kama kuna bugs? Hivi dosari ni kwa sababu ya language au bugs - bad programing?
Jibu sahihi liko hapaKuwa serious, ingepunguzaje? Coding kwenye C++ au ADA inapunguzaje ghrama maana hizo ni source codes na zina milion lines per block ? Programming language ungeongelea swala la robustness na efficiency kama vile speed. Usitegemee source codes za program mbalimbali za Stealt f-35 zinakuwa ni za language moja. Jf yenyewe server haitumii language moja. Na sijajua kuwa C++ ni wapi wamesema wameitumia, source yako? Na kuprogram software gani? ADA ni extension ya languages kadhaa.
Mimi ni mwanafunzi katika kikosi cha ulinzi Baharini, nimesomea Ada(embedded systems) na nimejenga softwares mbalimbali za submarines na Rocket LaunchersOk hapo nimekuelewa. Je wewe unaijua hiyo lugha ya Ada? Umeisaidia vipi serikali ya Tanzania kwenye mambo ya kiulinzi kwa kutumia lugha hiyo?
kwahio we ulitaka wale US Marines wlivyokamatwa na wanamaji wa iran walipopita kwe maji yao ndo US waanzishe vita?we jamaa unafurahishairan hana mkwara ukizengua anafanya kweli,mwaka 1979 hajateka ubalozi wa marekani na kushikilia wamarekani kwa miaka,marekani walijaribu kuwaokoa kwa kutumaa makomando,operation eagle craw,wakaangua pua,ikabidi wawe wapole na kuaamua kuwahonga silaha wairan ili wawaachie mateka,
miaka mitano iliyopita ndege ya marekani ikiwa imejaa wanajeshi wa marekani toka afaghnistan ilijichanga ikaingia anga la iran,wakasitukia wamezungukwa na ndege za iran na kuamuliwa kutua iran,mpaka walipotoa maelezo ya kutosha ndo wakaachiwa huru,
juzi hapa kama miaka miwili iliyopita askari wa uingereza walitaka kupenya iran,wakakamatwa na kuwekwa ndani na ilibidi tena waingereza kunyenyekea mno ndo wakaachiwa,juzi hapa tena askari wa marekani wakanaswa iran,
bado iran imezihijack drone za marekani mara 2.
Bila kusahau mwaka 1980,kule beiruti jeshi la hezbolah limeripua ambi ya jeshi la marekani na askari karibu 300 wa marekani walipoteza maisha.
Huko sio kutishia,ni kufanya maamuzi magumu
UgeniniHahahahaha! Kazi zako zinapatikana wapi? Una machapisho?
Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,
Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,
Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,
Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.
vipi kuhusu mateka.?.kwahio we ulitaka wale US Marines wlivyokamatwa na wanamaji wa iran walipopita kwe maji yao ndo US waanzishe vita?we jamaa unafurahisha
vipi kuhusu mateka.?.
Vipi kuhusu mlipuko wa beirut?
vitu kama hivyo watu wanapiga covert ops tu wanamalizana navyo........hata israel walistrike mageneral wa iran na kuwaua kule syria but huwez anzisha vita kwa design hio labda kama nchi iwe inaongozwa psychotic leadervipi kuhusu mateka.?.
Vipi kuhusu mlipuko wa beirut?
kama mrekan kwe vita ya iraq walisema tunaenda mpiga saddam kwa kuwa.....nafikir hata wakivutiwa na iran watasema tunaenda mpiga kwa sababu....cdhan km watasema wanaenda kupiganaHoja zako ni za kihivi: kwa sababu Vietnam ilishawahi kuipiga Marekani, hata wakiingia vitani leo itaipiga. Nimekuuliza swali kuwa "Unaamini Iran ina uwezo wa kuishinda Marekani kwenye vita? Mfano, itokee vita kati ya Iran na Marekani sasa hivi, ni nani unamwona ana uwezo wa kuibuka mshindi?"
Unajua hata simba akibanwa na kundi la nyumbu lazima azimie hata kama amekula nyumbu zaidi ya buku tangia azaliwe.kama mrekan kwe vita ya iraq walisema tunaenda mpiga saddam kwa kuwa.....nafikir hata wakivutiwa na iran watasema tunaenda mpiga kwa sababu....cdhan km watasema wanaenda kupigana
Ada ni Very Strictly typed na hakuna mpego wa dosari ukilinganisha na lugha yote ya programming
iran,,Hoja zako ni za kihivi: kwa sababu Vietnam ilishawahi kuipiga Marekani, hata wakiingia vitani leo itaipiga. Nimekuuliza swali kuwa "Unaamini Iran ina uwezo wa kuishinda Marekani kwenye vita? Mfano, itokee vita kati ya Iran na Marekani sasa hivi, ni nani unamwona ana uwezo wa kuibuka mshindi?"
yah,ni vitu vya kawaida tu,ndo maana israel walipoua jeneral wa iran kule syria,iran walilipa kisasi ndani ya saa 48vitu kama hivyo watu wanapiga covert ops tu wanamalizana navyo........hata israel walistrike mageneral wa iran na kuwaua kule syria but huwez anzisha vita kwa design hio labda kama nchi iwe inaongozwa psychotic leader
amna kitu wale hata turkey anawakalisha tena mapema tuUnajua hata simba akibanwa na kundi la nyumbu lazima azimie hata kama amekula nyumbu zaidi ya buku tangia azaliwe.
Wakiamua kumtolea uvivu iran ni kitu cha wiki tuu wamesha ingia teheran kunywa chai za wenyeji.[emoji28] [emoji28] [emoji28]
umeshaona kinachotakiwa kufanyika sasa,vita hazpiganw ovyo ovyo kijana pinguza mizukayah,ni vitu vya kawaida tu,ndo maana israel walipoua jeneral wa iran kule syria,iran walilipa kisasi ndani ya saa 48
Mimi ni mwanafunzi katika kikosi cha ulinzi Baharini, nimesomea Ada(embedded systems) na nimejenga softwares mbalimbali za submarines na Rocket Launchers
Juzi juzi hapa walimwua General wao mmoja aliye kuwa ana randaranda huko syria na maofisa wa hesbolla. Wakala kichwa na iran ikaapa kulipiza kama kawaida na maneno kibao. Niambie nini walifanya kama sio kuufyata .kamzengua lini na wapi?
naona facts zako ziko mixed.umeshaona kinachotakiwa kufanyika sasa,vita hazpiganw ovyo ovyo kijana pinguza mizuka