Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

tutajie mkuu,operation hata 5,tulinganishe na za hezb
Nilikisoma siku nyingi mkuu labda nipitie archives zangu kwa sasa nitakua nadanganya sikumbuki hizo operations ,japo mwanzo alianza kuelezea jinsi mossad ilivyotaka kum recruit Henry Paul kuwa informer wao wa Hotel ya Ritz inayomilikiwa na Mohammed Al Fayed ,baada ya Katsa kufanikiwa kumshawishi Henry Paul wiki moja mbele kama sikosei Ndio princess of Wales na boyfriend wake Dodi walifariki huku Henry Paul akiwa ndie anaendesha Benz lililopata ajali
 
safi sana chief, hivi vitu vimetapakaa mitandaoni na ni free vinasaidia kidogo kuijua dunia yetu inavyoendeshwa katika ulimwengu huo
Ni kweli mkuu vitu vingi vimefichwa kwenye maandishi ukipenda kusoma basi walau kuna vitu vingi utaweza kuvimudu kutokana na kuwa na knowledge tofauti
 
Kumbuka watu kama Elungata ni mod wa JF, lengo lake ni kubisha ili watu waendelee kuchangia mada, na hawa jamaa wanalipwa. JF ina mikakati ya kibishara sana kwa sasa, kila jukwaa lina mamods watatu au zaidi, kuna watu hata kama uposit saa ngapi, unakuta huyu hapa. Huyu jamaa sources zake ni wikipedi na Google, habari zilizoandikwa na waarabu!
ha ha ha,hebu msinivunje mbavu ,halafu nikapaliwa msosi kwa kicheko,tayari mwaniita mod,,ha ha ha.
Mwingine anasema source yangu gogle,kwani wenzangu,netanyau huwa anawaletea ripoti au labda vyanzo vyenu ni vipi hasa?.

Gogle ni sawa na library tu wakuu,hakuna kitu cha ajabu hapo
 
Nilikisoma siku nyingi mkuu labda nipitie archives zangu kwa sasa nitakua nadanganya sikumbuki hizo operations ,japo mwanzo alianza kuelezea jinsi mossad ilivyotaka kum recruit Henry Paul kuwa informer wao wa Hotel ya Ritz inayomilikiwa na Mohammed Al Fayed ,baada ya Katsa kufanikiwa kumshawishi Henry Paul wiki moja mbele kama sikosei Ndio princess of Wales na boyfriend wake Dodi walifariki huku Henry Paul akiwa ndie anaendesha Benz lililopata ajali
bila shaka kitabu kimeeleza na jinsi agent wawili wa mossad walivyopotezwa na hezb kule Burgalia
 
ha ha ha,mageneral wa israel hawaendagi front mkuu,wako wamejificha tel aviv,we huoni hata netanyau hasafiri ovyo,ushamsikia kaja afrika tofauti na misri?,hata ulaya anaenda mahali anapojuwa watamlinda vizuri,mwoga mnoo,sasa generali angekuwepo ndani ya zile humvee unadhani angepona kweli?

rais wa iran anakujaga afrika?!
 
rais wa iran anakujaga afrika?!
rais khatami alitembelea nchi kadhaa africa ikiwemo nigeria,mali,zimbabwe etc.
Rais Rouhan ana mwaliko wa kwenda africa kusini.
Nna hakika pia Rasfanjani,na ahmadinajad walikuja africa
 
Ahmed nejad alikuja hadi tanzania
 
Wayahudi weusi mnaparuana na Waarabu weusi aliyewaroga kafa.
 
Kumbuka watu kama Elungata ni mod wa JF, lengo lake ni kubisha ili watu waendelee kuchangia mada, na hawa jamaa wanalipwa. JF ina mikakati ya kibishara sana kwa sasa, kila jukwaa lina mamods watatu au zaidi, kuna watu hata kama uposit saa ngapi, unakuta huyu hapa. Huyu jamaa sources zake ni wikipedi na Google, habari zilizoandikwa na waarabu!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Wayahudi weusi mnaparuana na Waarabu weusi aliyewaroga kafa.
haha ha,unajua hapa tunakatana tu ngebe,not something serious,ujue saa ingine inakera kuona mtu msomi na degree zake,ila likija suala kuhusu israel common sense ina evaporate,
israel ni binadamu tu kama wanadamu wengine,wao sio binadamu zaidi kuwazidi binadamu wengine
 
http://www.dailymail.co.uk/news/art...ious-not-received-wake-Ramadan-breakfast.html

Kwa akili hii, kweli waarabu ni watu wa kawaida? Unachoma kambi kisa hujaamushwa kula daku? Unamlipa anayekuamsha? Kwa nini ule usiku?
kila binadamu ako na mapungufu yake,kule kenya waling,oa reli na kuchoma moto vyoo walivyojengewa,huko israel maandamano ya kuadhimisha ushoga ni kitu cha kawaida,kama unaangalia vitu vidogo kama hivyo kisha unatumia kujudge jamii nzima,it is hopeless
 
rais khatami alitembelea nchi kadhaa africa ikiwemo nigeria,mali,zimbabwe etc.
Rais Rouhan ana mwaliko wa kwenda africa kusini.
Nna hakika pia Rasfanjani,na ahmadinajad walikuja africa

waziri mkuu wa israel anamwaliko wa Kenya na nchi nyingine za afrika na kathibitisha kuja, anasema hivi "I've received an invitation from the President of Kenya and from others to come and visit Africa," Netanyahu told ambassadors from African nations, according to his office.

"I intend to do so around the 40th anniversary of the raid at Entebbe that was for us a very dramatic national experience. For me, obviously, one of great personal consequence."
 
swali ni je,atakuja kweli,au ataingiwa na woga tena?,
 
kila binadamu ako na mapungufu yake,kule kenya waling,oa reli na kuchoma moto vyoo walivyojengewa,huko israel maandamano ya kuadhimisha ushoga ni kitu cha kawaida,kama unaangalia vitu vidogo kama hivyo kisha unatumia kujudge jamii nzima,it is hopeless

Unaumwa mkuu, kuchoma kambi ni kitu kidogo? Na Garissa magaidi, ndugu zako Al-shabaab walivyowaua wanafunzi wa kikristo? Westgate? Cheki ndugu zako mkuu:
 
Back
Top Bottom