Hakupata chanjo?Nimejaribu kupitia Google wanasema huo ugonjwa unaitwa canine parvovirus
muite daktari wa mifugo achana na GoogleNimejaribu kupitia Google wanasema huo ugonjwa unaitwa canine parvovirus
mkoani mara badala ufuge hata mbuzi unakuja na swag za kajibwa ka miez 3 ndugu yangu. Hako hata usisumbuke kukapa dawa hakatapona ndugu yangu you just say r.i.p manunu. Nowadays kuna outbreak ya ugonjwa wa mbwa hapo wewe tafuta mbwa mkubwa ununue au uombe kwa jirani usituletee mambo ya kizungu ati katoto mura. Cha kwanza katavimba mdomona tumbo ni kama kameshba na for sure hako hakatapona acha kuharibu pesa yako hapo na sio kwa ubaya.Nimeshaujua Kuna vet mmoja nimemtafuta Yuko kibaha amenismbia ni canine parvovirus amenielekeza mahali pa kwenda kuchukua dawa huku karibu na ninapoishi mkoani mara
Hakupata chanjo?
Mjaribu kuponda majani na mbegu za mwarobaini kisha loweka kwenye maji kidogo.
Mwekee hayo maji anger. fanya hivyo siku 3 hivi.
Kuna mbwa alikuwa na hizo dalili tulimpa hiyo dawa alipona.
Na za baba na mama yako usizisahau. Kiazi
Hawakupewa!Hakupata chanjo?
Mjaribu kuponda majani na mbegu za mwarobaini kisha loweka kwenye maji kidogo.
Mwekee hayo maji anger. fanya hivyo siku 3 hivi.
Kuna mbwa alikuwa na hizo dalili tulimpa hiyo dawa alipona.
Nashukuru sana. Mara ngapi kwa siku ktk hizo siku3?Hakupata chanjo?
Mjaribu kuponda majani na mbegu za mwarobaini kisha loweka kwenye maji kidogo.
Mwekee hayo maji anger. fanya hivyo siku 3 hivi.
Kuna mbwa alikuwa na hizo dalili tulimpa hiyo dawa alipona.
Mbwa wakubwa wapo, hivyo vitoto vina mama Yao hapa tuna mifugo mingi mbuzi, kondoo, ngo'mbe, hao mbwa wanasaidia kuikinga mifugo dhidi ya fisi pia wezi wa kuku pia tuna mabanda ya kuku wa kienyrji usipokua na mbwa wezi wanabomoa usiku, mkoa wa mara wizi ni jambo la kawaida so lazima ulinde mali zako kwa nguvu zotemkoani mara badala ufuge hata mbuzi unakuja na swag za kajibwa ka miez 3 ndugu yangu. Hako hata usisumbuke kukapa dawa hakatapona ndugu yangu you just say r.i.p manunu. Nowadays kuna outbreak ya ugonjwa wa mbwa hapo wewe tafuta mbwa mkubwa ununue au uombe kwa jirani usituletee mambo ya kizungu ati katoto mura. Cha kwanza katavimba mdomona tumbo ni kama kameshba na for sure hako hakatapona acha kuharibu pesa yako hapo na sio kwa ubaya.
Ukiacha ujinga wa kuni-quote bila sababu utakuwa mlezi bora wa mbwa.sasa wewe unataka niandike nini na kama nani. Yaan katoto ka mbwa wewe unataka kunipangia cha kundika ndugu kweli. Jifunze kupita coments zingne plz hapa hakuna cha uandish bora wala nini
kama hutak kuquotiwa mbona wewe unaquote watu kwa ujinga. Mim na mbwa wapi na wapi au ili iweje dogo. Nisilee hata mbuzi au kuku niende kulea bobi kwa lipi. Acha ushamba wa kujifanya unajua tena jf. Amka unawe uso uende ukaombewe kijana.Ukiacha ujinga wa kuni-quote bila sababu utakuwa mlezi bora wa mbwa.
Kunitukana ndio busa?Tunapojadili mambo muhimu tafadhali sio lazima useme neno kama huna la kuchangia kwani kukaa kimya pia ni busara kama kwenu mmezoea kunyonyeshs mbwa it doesn't apply to me,jiheshimu.
Ungeuliza kama hufahamu.Ulivyosema nimnyonyeshe ulimaanisha Nini?