Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

Kwanini na wewe usiwe umepewa Hela ili umchafue Membe na wenzake uliowataja?kwa ni unafikiri maaadui wa Slaa ni hao tu ?,What about the Guy aliyeporwa Mke na Slaa hivi na a deserve kuwa Adui wa Slaa?..........

Na babu seya aliyefungwa kwa kugombea demu na baba yako unamsemaje?
 
Nimesikitishwa sana na vijana wenzangu kutumika kisiasa kiasi cha kuudhalilisha utu wao. Kijana aiitwaye EDO MWAMA LALA, aliyekuwa katibu wa BAVICHA mkoa wa Mbeya na Adam CHEGULANI (diwani wa jiji la mwanza aliyenyang'anywa kadi),wote hawa walifukuzwa Chadema kwa kutokuwa waadilifu. Wapo kwenye kibarua haramu cha kuhakikisha wanawashawishi vijana (hasa BAVICHA)kutoa matamko ya kumhujumu Dr. Slaa kisiasa kupitia vyombo vya habari.


Sasa kashindwa huko anakuja kuingilia siasa za CHADEMA kwa kuwatumia vijana wetu wasiokuwa waadilifu; nimwambie kwa upendo tu kwamba CHADEMA TUKO IMARA KAMA CHUMA.

Na. Alex Nicholaus Thomas MUSHI,
Mjumbe wa Baraza kuu la CHDEMA-Taifa,
Mjumbe wa kamati tendaji BAVICHA-Taifa.........

MUSHI sijakuelewa vizuri unapomuhusisha Membe na migogoro yenu ya kisiasa. Au na wewe umetumwa na wapinzani wa Membe kumchafua kisiasa.
 
Eddo, Mchange na Mwampamba "wanamchafua" Zitto pia kwa kumsingizia kuwa wanamtukana Slaa ili Zitto awe Rais!
 
*Mkuu ondoa wasiwasi kabisa.
Hakuna mwanaCHADEMA yoyote anayeweza kutikisika na propaganda za CCM.

*Hao vijana wachache wanajulikana toka kitambo kuwa ni vibaraka wa magamba hivyo usishangae hicho wanachokifanya sasa.

*Dr.Slaa kwa muda sasa amekuwa akifanya kazi ya kusafisha chama kwa kuondoa mamluki wa CCM, hivyo hao vijana wapo waliofukuzwa, waliosimamishwa na wapo wanaosubiri kufukuzwa hivyo wamewahi kumwaga mboga kabla CHADEMA haijamwaga ugali kwa kuwafukuza.
 
Eddo, Mchange na Mwampamba "wanamchafua" Zitto pia kwa kumsingizia kuwa wanamtukana Slaa ili Zitto awe Rais!
Swali kuu ni kwa nini Zitto Kabwe hataki kuwakana, kuwaonya, kuacha ''kuwafadhiri'' au ''kushirikiana'' nao?
 
*Mkuu ondoa wasiwasi kabisa.
Hakuna mwanaCHADEMA yoyote anayeweza kutikisika na propaganda za CCM.

*Hao vijana wachache wanajulikana toka kitambo kuwa ni vibaraka wa magamba hivyo usishangae hicho wanachokifanya sasa.

*Dr.Slaa kwa muda sasa amekuwa akifanya kazi ya kusafisha chama kwa kuondoa mamluki wa CCM, hivyo hao vijana wapo waliofukuzwa, waliosimamishwa na wapo wanaosubiri kufukuzwa hivyo wamewahi kumwaga mboga kabla CHADEMA haijamwaga ugali kwa kuwafukuza.

DK usihofu vijana wa TZ tupo nyuma yako hawa wala rushwa wanaodanganywa na pipi,lunch ,dinner etc wasikubabaishe .ASILIMIA YAO NI 0.00000000001% Ya vijana tuliopo nyuma yako.

WAENDE DARASANI WAKSOME HII.

.""What is money laundering and their impact.""
 
Maslahi ya nchi ni zaidi ya karatasi chafu ya ccm. DR. Slaa kurudisha kadi ya walaaniwa ccm siyo mada kwangu mimi.
Kwanza ccm waturudishie fedha zote zilizoporwa na waturudishie maeneo yaliyoachwa mashimo, waturudishie fedha za Uswis, meno ya tembo, magogo ya misitu, fedha anazosafiri nazo kikwete as if ni mfalme, waturudishie..... kadi ya ccm kitu gani bwana?

Hii biashara ya kuhangaika na karatasi ya ccm ni upuuzi.
Na TANGANYIKA pia UREJESHWE ati.
 
Swali kuu ni kwa nini Zitto Kabwe hataki kuwakana, kuwaonya, kuacha ''kuwafadhiri'' au ''kushirikiana'' nao?


Mkuu Concrete, ..Zitto amejaribu kukana kuwapa fedha!, Lakini kuna ushahidi wa 100% kuwa anawapa fedha. Eddo alimsaliti Shitambala kujitangaza kuhamia CCM baada ya kuahidiwa pepo na ZITTO!.. Maneno yangu ya awali nimeyafunga na funga na fungua semi kuonesha kuwa hii ni Kazi ya Zitto. Ushahidi mmoja wapo ni huu, Mwampamba kuondoa haraka maneno ya kumuunga mkono Zitto akimpinga Slaa, soma:
"ZITTO ZUBERI KABWE ANAKADI MOJA TU YA CHADEMA, YEYE NI MZALENDO, MWADILIFU NA MTETEZI WA WANYONGE
AMEZALIWA, AMEKULIA NA ANAITUMIKIA CHADEMA KWA MOYO WOTE"... by Mtera Mwampamba, a.k.a TUNTEMEKE.
 
Kama BM anashiriki UJINGA huu naishiwa imani nae mbona! Siamini jama.
 
Ushahidi Tafadhali,hii ni tuhuma mkuu kwa sababu umetaja majina ya watu humu ndani,toa ushahidi ili nasi tuweze kuamini hili na tuane kumwagika.
 
Dr. Slaa lazima apitie vikwazo vingi sana mpaka kufikia mwaka 2015. Yeye ni tishio kwa ccm ndio sababu hawalani wakimwandama. Chadema ikipita vikwazo hivi hakika itakuwa imeiva kisawasawa..haturudi nyuma,Bavicha kitu gani??
 
M4C MBELE DAIMA, Kwan sakata la Dr.SLAA kaiba mke mnaliskia tena? HUU NAO NI UPEPO TU, UTAPITA, PESA IKIISHA WATAFYATA MKIA, MUNGU IBARIKI TANZANIA,
 
mkuu watanzania wasasa niwaelewa izi kelele za bavicha zitajadiliwa kwa wauza gahawa ila hazina effect yeyote kwa cdm.go go go cdm .njaaaaaaaaaaaa mbayaaaaaa sanaaaaaaa tena kwa mwanaume unaweza kupumuliwa kisigoni
mtajajua hapo baadaye kuwa zilikuwa na effect.
 
Hebu ngoja,kwani ni vibaya Zitto kuwa Rais??!!!

Zitto kuwa rais ni jambo jema kabisa!.. Kibaya ni kufadhili vijana wawachafue wengine!.. Kazi iliyofanywa na wanamtandao wa CCM imeumiza wengi.. haya hayafai kutokea CDM!.. Mimi binafsi naamini ipo siku Zitto atakuwa rais lakini si kwa staili anayotumia sasa!.. Haya ni maneno aliyosema Zitto kwenye thread isemayo:

Re: Milioni 20 za CCM chini ya Nape na Nchemba zawafikia baadhi ya viongozi wa BAVICHA

quote_icon.png
By Zitto
Nakuomba sana sana tuheshimiane. Usinihusishe na upuuzi wowote unaoendelea hivi sasa. Sina muda na mambo ya kipuuzi. Nimekitumikia chama changu kwa muda mrefu na kwa uadilifu na utiifu mkubwa sana. Siwezi kwa namna yeyote ile kuhujumu chama changu. Hata kama kungekuwa na makosa huwa nayasema kwenye vikao vya chama bila woga wala upendeleo.

Hakuna mtu anayeishi jijini kwa ufadhili wangu maana sina uwezo huo wa kufadhili watu.

Usinihusishe na ujinga wowote unaoendelea hivi sasa. Wanaofanya huu upuuzi na wanaofanyiwa huu upuuzi wanajijua wapi walipishana na hawana historia na mimi kwenye chama hata kidogo. Tafadhali usipende kutumia jina langu kwa mambo ya kijinga haya.

Tafadhali ondoa kabisa jina langu kwenye mambo haya ya kitoto. Sitaki kabisa kabisa.. Mwisho wa kunukuu!.. Sasa fuatilia maneno ya wafuasi wake: Mwampamba, Eddo na Mchange utaona wazi anakanusha vile anavyovitenda sirini!.. HAPA JAMVINI SITATOA UNDANI WA KADHIA HII!, Lakini kwa ufupi nyuma ya vijana hawa kuna ZITTO na CCM!



​
 
Kwani ni vizuri kumtukana Dr.Slaa ili asiwe rais?

Sijakuuliza wewe acha umbea!!!na kama umembeeka basi ungejibu kwanza kisha ukauliza swali lako usitake kuniondoa kwenye hoja yangu Concrete!!!!!!
 
Back
Top Bottom