Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

Maskini wanasema kitimoto ni Haramu,wenye pesa wanajiachia tu
 
Attachments

  • Screenshot_20250830_035700_YouTube.jpg
    86.8 KB · Views: 20
utajua hujui ngoja utaacha kwa kupenda au kutokupenda huu ni wakati wa Yehova Mungu na kristo Olumba olumba obu
Hayo yapp hata kwenye ng'ombe,kondoo,mbuzi na mboga za majani zinazolimwa mchambawima.Wewe chagua utawala kwenye kipi kati ya hivyo.
 
Hayo yapp hata kwenye ng'ombe,kondoo,mbuzi na mboga za majani zinazolimwa mchambawima.Wewe chagua utawala kwenye kipi kati ya hivyo.
narudia tena we kula kwa kuwa ujui tupo wakat gani hakuna mtu atakuja kukufundisha kula mboga za majan na kuacha nyama ......THIS IS WARNING WE ARE AT THE END OF ERA
 
narudia tena we kula kwa kuwa ujui tupo wakat gani hakuna mtu atakuja kukufundisha kula mboga za majan na kuacha nyama ......THIS IS WARNING WE ARE AT THE END OF ERA
Unaishi kwenye medieval ages nyakati hizi za sayansi na teknolojia.Uchaguzi ni wako.Acha kujipa cheo cha mshauri wa kijiji.Ishi kwa kadiri ya furaha yako.Mimi leo hii nipo ghorofa ya tano.Sijui wewe unahangaikia wapi!Adios...Amigos!
 
Katazo limekaa kiafya zaidi kuliko Dhambi...mchafu, mtakufa coz ukipika vibaya or asipoiva minyoo itakuua....usilazimishe kwamba kula Nguruwe ni Dhambi....na andika la kula Nguruwe ni Dhambi halipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…