Kiti MOTO hiki ni BALAA

Status
Not open for further replies.
Max, I am an animal rights advocate and a vegetarian, and I believe that all animals (including kitimoto) ought to be viewed as persons! Nadhani kuna wenzangu humu pia wanaopata mfadhaiko wakiona damu au nyama ya aina yoyote - iwe ya kondoo, nguruwe, mtu, etc.

Big no...watu wataanza kuhalalisha kujamiiana nao
 
Aisee hiyo kitu acha kabisa, ni safi sana. Kwetu wanaita Mbuzi Ulaya au Mbuzi katoliki. Nakushukuru baba kwani uliwazuia wengiane ili sisi wachache tufaidi...
 
935236.jpg

Haki ya nani unaweza ukala ugali kwa hii picha tu na ukashiba.,kiumbe huyu ni noma asikwambie mtu, ndio maana ndugu zetu wakionja tu lazima wachonge mzinga.
 
laughing-pig.jpg

<!-- TITLE: Laughing Pig --><!-- DESCRIPTION: One of the baby pigs must have told a funny joke because this piglet seems to be having a good laugh. -->
hhaha, sasa uyo nguruwe mwingine ndo anacheka au anapiga story?
 
Aisee hiyo kitu acha kabisa, ni safi sana. Kwetu wanaita Mbuzi Ulaya au Mbuzi katoliki. Nakushukuru baba kwani uliwazuia wengiane ili sisi wachache tufaidi...


I love your message.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom