Kiti MOTO hiki ni BALAA

Status
Not open for further replies.
wanaudsm hii kitu inauzwa nyuma ya kanisa la EFATHA aisee wanauza kitu classic..wadau.karibu tufurahi....mdudu mtamu hadi najiuliza bila yeye ningekula nini mimi....
 
wanaudsm hii kitu inauzwa nyuma ya kanisa la EFATHA aisee wanauza kitu classic..wadau.karibu tufurahi....mdudu mtamu hadi najiuliza bila yeye ningekula nini mimi....

Mkuu umenea hii kitu huwa lazima niibamize kila wiki
 
313765_269819293049074_100000630157149_891659_859048251_n.jpg

Hapa ndio haswaa
 
Nashukuru kwa maoni yako, lakini na mimi si animal rights advocate kama wewe, na ningependa haki yangu ya kula Kiti Moto. Kitamu kweli kweli.

Swali, hivi nili mliombwa na wanyama muwavunjie haki yao ya kuliwa kwa BBQ?

Leviticus 11:7
And the swine, though he divide the hoof, and be clovenfooted, yet he cheweth not the cud; he is unclean to you.

LEVITICUS 11:7 And the swine, though he divide the hoof, and be clovenfooted, yet he cheweth not the cud; he [is] unclean to you.

[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial]"Of their flesh (of the swine) shall ye NOT EAT, and their carcass ye shall NOT TOUCH; they are unclean to you " LEVITICUS 11:8
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial]Jesus destroyed 2000 pigs to heal one man—
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial]"And forthwith Jesus gave them leave (permission). And the unclean spirits (the devils) went out, and entered into the swine: and the herd ran violently down a steep place into the sea (they were about two thousand); and were choked in the sea MARK 5:13

MARK CHAPTER 5



[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial][/FONT][/FONT]
 
Last edited by a moderator:
asante sana mkuu....hii kitu nzuri sana na inasaidia mambo mengi....nitakuja

Hii kwa lugha ya kisasa ni ARV. Ukipimwa ukajikuta una ngoma huna haja ya kuweka foleni hospitalini kupewa dawa za kutoka ughaibuni....:clap2:

Kuanzia kesho hii kitu itakuwa bwerereeeee kitaa!
 
Hii kitu ni noma hata kwenye bible imeandikwa....ila kwakuwa miaka ya sasa binadamu wanaongoza kwa kwenda against maandiko hiii kitu inaliwa sana na bei yake iko juu...taarifa za kiintelijensia nilizo nazo ukifanikiwa kufikisha mdudu mmoja zenj utamuuza kwa faida lukuki....
 
Nonda
marko 7:

14Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, "Nisikilizeni nyote,mkaelewe. 15Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu toka nje ambacho chaweza kumtia mtu najisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu najisi." 16Mwenye masikio na asikie!
17Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano. 18Naye akawaambia, "Je, hata ninyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia unajisi, 19kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?" (Kwa kusema hivyo, Yesu alivihalalisha vyakula vyote.) 20Akaendelea kusema, "Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia najisi. 21Kwa maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, 22uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu. 23Maovu hayo yote yatokandani ya mtu, nayo humtia mtu najisi."
 
Last edited by a moderator:
Animal activists lol...swagger zingine ziacheni kwenye movie tu jaman..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom