Kiti MOTO hiki ni BALAA

Status
Not open for further replies.
pork1.jpg
 
KUU LA MEZA HILO BANA. miaka ya kati themanini (83 - 86) nikiwa pale nyumbii bombii tulikuwa tunafanya hii biashara ya huyu mdudu. tulifuga km ishirini hivi kila jmosi mfugo lzm udondoke. ile ngozi yenye mafuta inachemshwa na kuchujwa mafuta halafu vile vipande vinavyobakia vinawekwa kwenye friji. siku mkipika ndondo mnachanganya na maharage hahaaaaa
 
<br />
<br />
ahahaha shemegi, umenikumbusha mafuta ya mdudu yanachujwa kupikia ndondo na wali. Sasa uyakute yamesha-undergo rancidity balaa full kuhara.
 
ahahaha shemegi, umenikumbusha mafuta ya mdudu yanachujwa kupikia ndondo na wali. Sasa uyakute yamesha-undergo rancidity balaa full kuhara.

Aisee nilikuwa naenda nayo shuleni, naweka kwenye mfuko wa kaptura ya shule hahahahah si kunifukuza huko washkaji zangu wanagombania MACHUJA hahaahahahahaahaa
 
yani umenipatia kweli...nafungua post yako nina njaa ya ukwee.....wapsh hawajamaliza kupika kisa kuna disco boys leo.....kwahyo da fud z suppoz to b enaf....kitmoto wa ukwee huyoooooooooooooooooo
 
Sredi nyingine zinaanzishwa tu ili kuwakera watu wengine
This is not gud kabisa
 
I love vegetation, i dont anything to happen to vegetation.

Eat meat, majani na miti tuiache itupe hali nzuri ya hewa. Please!
 
Hahahahahaaaa,kichwa cha habari kiliandika kitimoto sasa wewe km si
mwanachama umefungua hii sredi kwanini?mi mwenyewe noah mi mwenyewe hata harufu
haipandi achilia mbali kuitafuna!!!! Poleeeee

sredi nyingine zinaanzishwa tu ili kuwakera watu wengine
this is not gud kabisa
 
  • Thanks
Reactions: LAT
asee sasa hapa sijui walikuwa hai ama???????????
huyu mdudu kwa sasa wanamtafuna saaana
japo mwezi huu mtukufu biashara huwa inadorora kimtindo

kiti.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom