Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Jamaniiii una dhambi kuzidii alqaeda weweee,,,si uwe kila anakuja unanunua mingiiii,
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sasa mwanamke mzima hata mswaki kwenye pochi hubebi ,unamsaidiaje huyo zaidi ya kumpigisha mswaki wa mwenzake ?
 
kweli kaka lile tukio ulilolifanyaga pale mtaani lilikuwa ni hatari kwa kweli bora usiliseme tu
 
Habari wakuu, misukosuko ya mapenzi iliyonikuta ilinifanya nitende unyama mkubwa sana hapa duniani!
Yule mwanamke naamini hadi anaingia kaburini hata sahau ukatili niliomfanyia, hata awapo na mumewe au na wanawe hii sura lazima itabaki moyoni mwake tuu.

Ni jambo baya zaidi wakuu kwa historia ya nchi. Napata hata shida ya kuliandika hapa maana nahofia serikali isije kunibeba hapa.

Kwa tabia yake ya kujichanga na watu kibao na kujifanya marafiki zake nilipata habari ya uhakika na nilidhibitisha nilichokifanya hiyo siku nilimtafuta yule boya* alienilia tunda langu nikampa kipigo hatari mno japo alifanikiwa kuning'ata ila kipigo nilichompa hadi leo ananiheshimu na hili jambo limenipa heshima mbele ya jamii inayonizunguka.

Huyu mwanamke hakuwa na kwa kukimbilia na hasira ilienda kuishia kwake.
Ni tukio baya sana wakuu hivi nasema bora nisingemfania kwani najutia, nimejiwekea historia mbaya maishani mwang ila kwa kuwa ishatokea nitatafuta jinsi niisahamu hii hali au nimfate nimuombe msamaha tuu yaishe nafsi yangu iwe na amani.
Sasa tukusaidie nini maana hapa hakuna ulichomaanisha
 
Nilimdanganya Nina mimba ila baadae nikamwambie imeharibika akajua nimetoa ndo ikawa mwisho wa mahusiano lkn nilishukuru maana......
 
Nilimdanganya Nina mimba ila baadae nikamwambie imeharibika akajua nimetoa ndo ikawa mwisho wa mahusiano lkn nilishukuru maana......

Nilimdanganya Nina mimba ila baadae nikamwambie imeharibika akajua nimetoa ndo ikawa mwisho wa mahusiano lkn nilishukuru maana......
Daaaaaah kumbe ndio wewe sasa uongo wako umekufikisha mbali cheki ulivo
 
ulijitahid, kuna demu alimpa rafki yangu ukimwi kabisa ndi nikaamini kuna wauaji zaid yangu
[emoji23][emoji23] huyo mshenzi! dont mess with hoes from da wrong hood......
mimi baada ya kuyafanya hayo niko salama salmini na adabu ipo mpaka kesho kutwa..
maana yule. kaka alininyanyasa mno.... alistahili kabisa
 
Alinibambikia mimba,nilichomfanya hatoamini maisha yake yote!
 
Back
Top Bottom