Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Unipitie na mie tukaambiwe vizuri wotehaaaaaaa unanichekeshaje... nitakuja mtaa wa pili unambie vizuri
Piga sangara na viazi vitamu kukonda utakusikia kwa jirani.....Nilikondaa yaan ugomvi kwangu ikawa diet,maisha yanaendelea lakin
Aiseeee una roho ngumuuuuu?????dumped him
dated his dad
made da mafaka my step son[emoji41]
unapenda ubuyu kama soudy Brown LolsUnipitie na mie tukaambiwe vizuri wote
Nimekusamehe. Njoo tuyajenge.Nikawa mlevi wa porn ,nikashindwa aisee japo bado nampenda sana,mambo yalitokea mengii
Nakuja haraka aiseeNimekusamehe. Njoo tuyajenge.
Mapenz ya mbali yahitaji sana moyo kuvumiliaNilimcheat kwa sababu ya umbali,kachukia mpaka leo
Nadhani hata soudy hanifikii[emoji12]unapenda ubuyu kama soudy Brown Lols
Sana ,najiuliza eti mwanaume anaweza kaa mwaka mzima bila kudo?hapo si ni heshima tu na kuaminiana na kusahau yaliyopiataMapenz ya mbali yahitaji sana moyo kuvumilia
Na mawasliano yakipungua kidogo tu nivo ukiona hali imechange hapo watu washaanja kukamatia fursaugomvi ulikua hauepukiki hapo hata ningekua Mimi ningekumind hatari... mawasiliano yanasaidia sana kama mko mbali pia
Kwa hiyo ulikuwa unajichua[emoji4]Nikawa mlevi wa porn ,nikashindwa aisee japo bado nampenda sana,mambo yalitokea mengii
HeehheheKwa hiyo ulikuwa unajichua[emoji4]
mkuu una mauzoefu na long distance relationship nini??Na mawasliano yakipungua kidogo tu nivo ukiona hali imechange hapo watu washaanja kukamatia fursa
aiseee hapan nakataa wanaume wenye ndo cc wa karne hiii heshima tu ndo inafanya uone ukopekeakoSana ,najiuliza eti mwanaume anaweza kaa mwaka mzima bila kudo?hapo si ni heshima tu na kuaminiana na kusahau yaliyopiata
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] haa haa jf hiiiiKwa hiyo ulikuwa unajichua[emoji4]
Nilimcheat kwa sababu ya umbali,kachukia mpaka leo