Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Kimsingi wewe ndo umegegedwa na mtu na baba ake..in short wamekugeuza cha wote. Very sad.
Bahati mbaya sana, yeye ndio anaona "all-time winner"!
Kijana kamchapa nao, mshua kachukua moja kwa moja, manake ni kuwa hata leo kijana anaweza kuomba mzigo na akapewa...
...who deserves the "mazafaka" tittle??
 
Nilimdanganya Nina mimba ila baadae nikamwambie imeharibika akajua nimetoa ndo ikawa mwisho wa mahusiano lkn nilishukuru maana......

Mbona ulinidanganya mpenzi? Nikaamini kweli umetoa, ila bado nakupenda sana. [emoji87][emoji38][emoji85]
 
Alivuja damu kisa cha kumpiga ni kwamba kuna maneno aliambiwa asa badala ya kuniuliza kistaraabu akawa ananiuliza huku ananipa makofi tena ya nguvu nami kujihami nikampopoa na chupa,nguvu za kujibu hakua nazo afu nilijua nimeua nikatoka mbio uzuri bodaboda zilikua karibu nikajipakia nikaondoka zangu mpaka nyumbani kesho yake nikatimkia mkoa mwingine.
mwanamke akinipiga huwa nafurahi sana, naona burudani. kwasababu kwa asili mimi ni professional faita, nina mkanda mzuri sana wa karate na sitakiwi kupigana hata na wanaume ambao hawajacheza martial art. na mke wangu analijua hilo, hivyo kuna siku nilimuudhi na nilijua kwamba hapa nimemuonea hadi mwisho, akanipiga makofi na kunifinya hadi alichoka, nilimuachia mwili apige hadi hasira iishe. baadaye ndio tukamalizia na kula tunda. ni burudani aisee.

ila kuna mchepuko mmoja ulikuwa umejazia fuani hivi, siku ukanikuna na mchepuko mwenzake. akaomba tukutane lodge tuongee, tumekutana, mlango ukafungwa, kwenye majadiliano akawa amedhamiria kuniadhibu kwa kipigo, yeye kanizidi mwili kidigo mimi mwembamba, akaona hiki chembamba hiki nitakipiga kama anavyowapigaga wanawake wenzie....na nisivyomheshimu kwasababu ni mchepuko tu, hakuamini macho yake. nilimwacha lodge mle mle kama jasusi la kimarekani na wala hawakujua nilichomfanyia kule ndani. na yeye polisi hakwenda manake mke wangu alikuwa anamtafuta hampati na akisikia tulikuwa wote lodge na nimempigia chumba cha lodge, ndo angefukuzwa na kazi yake ingemchafulia balaa.
 
Back
Top Bottom