Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Genye zilikuzidi ukawa huna jinsi bali kuvua picchu ili kuruhusu dushe lifanye vitu vyake!? Baada ya shughuli ulifurahia au ulijilaumu!?
Ni kujilaumu tu,,na kulaumu huo umbalii unavyotesa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
aiseee hapan nakataa wanaume wenye ndo cc wa karne hiii heshima tu ndo inafanya uone ukopekeako
Kumbe chin ya kapet kuna mpango wa kando
Ndio hivyo akili kumkichwaa
 
Najihisi kama adhabu ilikuwa kubwa sana kila nikikumbuka najisikia vibaya sana...Nilimng'ata uchi baada ya kuhisi kuna mtu katoka kumgegeda then ananiletea mimi miaka 5 iliyopita but jambo ni kwamba tupo wote mpaka sasa na tuna kijana mmoja.
 
Habari wakuu, misukosuko ya mapenzi iliyonikuta ilinifanya nitende unyama mkubwa sana hapa duniani!
Yule mwanamke naamini hadi anaingia kaburini hata sahau ukatili niliomfanyia, hata awapo na mumewe au na wanawe hii sura lazima itabaki moyoni mwake tuu.

Ni jambo baya zaidi wakuu kwa historia ya nchi. Napata hata shida ya kuliandika hapa maana nahofia serikali isije kunibeba hapa.

Kwa tabia yake ya kujichanga na watu kibao na kujifanya marafiki zake nilipata habari ya uhakika na nilidhibitisha nilichokifanya hiyo siku nilimtafuta yule boya* alienilia tunda langu nikampa kipigo hatari mno japo alifanikiwa kuning'ata ila kipigo nilichompa hadi leo ananiheshimu na hili jambo limenipa heshima mbele ya jamii inayonizunguka.

Huyu mwanamke hakuwa na kwa kukimbilia na hasira ilienda kuishia kwake.
Ni tukio baya sana wakuu hivi nasema bora nisingemfania kwani najutia, nimejiwekea historia mbaya maishani mwang ila kwa kuwa ishatokea nitatafuta jinsi niisahamu hii hali au nimfate nimuombe msamaha tuu yaishe nafsi yangu iwe na amani.
Itakuwa walikuzidi nguvu wakagonga 0713 .........
 
Aliniambia nifumbe macho et ana suplyies anataka kunipa

Bass nikafumba akaniambia toa ulim njee

Nikatoa

Si ndio nikalambishwa ule mti wa Mhalovera tena ulikuwa ndio umetoka kukatwa
 
Nilimcheat kwa sababu ya umbali,kachukia mpaka leo

Ulicheat na nani vile....?

upload_2016-12-25_15-6-57.jpeg
 
Back
Top Bottom