Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Nilimdanganya Nina mimba ila baadae nikamwambie imeharibika akajua nimetoa ndo ikawa mwisho wa mahusiano lkn nilishukuru maana......
Ua langu nilikutafuta mda mrefu nikajua ulifia kwenye mafuriko Tabata.. kumbe upo. Nilishakusamehe kunidanganya kwako.
 
Ila mkuu angalia maana akikasiria atakuja kumbandua bimkubwa maana wanaume hawapendagi ujinga.

Ila kwa kua uliifaidi dushe ya mdingi wake basi mm cna neno kwa kweli we noma.

Natamani njia ulizotumia ukamnasa baba mzazi
bi mkubwa wangu now ni 58 halafu mkali balaaaa...halafu ana mwogopa!!
unampata tu verysimple ukiamua
na ukawa mtu ambae mwanaume hawezi kuchomoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe ndo ulimpenda?
sanaaa..
mwanzo alinipenda siunajua wanaume, nilivompenda na mimi akanizingua afu ndo first love nikapenda mazima... nilinyanyaswa nikaonyeshwa wake wenzangu enzi hizo mshamba kishenzi... halafu natumia MTN
Mwenzangu yuko BBM....
sina A be wala CHE[emoji23] [emoji23] [emoji23]
tukaachana nikasafa miaka mi2 sitaki bwana... Mungu akatuma malaika
akanisafisha na kunionyesha mji
hapo ndipo nilipomsomesha namba zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
za marekani na za kirumi
 
sanaaa..
mwanzo alinipenda siunajua wanaume, nilivompenda na mimi akanizingua afu ndo first love nikapenda mazima... nilinyanyaswa nikaonyeshwa wake wenzangu enzi hizo mshamba kishenzi... halafu natumia MTN
Mwenzangu yuko BBM....
sina A be wala CHE[emoji23] [emoji23] [emoji23]
tukaachana nikasafa miaka mi2 sitaki bwana... Mungu akatuma malaika
akanisafisha na kunionyesha mji
hapo ndipo nilipomsomesha namba zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
za marekani na za kirumi
Ahahahahaahahahahahahh
 
Hakuvuja damu au kufa kabisa?? kwa nn ulimpiga? yeye hakujibu
Alivuja damu kisa cha kumpiga ni kwamba kuna maneno aliambiwa asa badala ya kuniuliza kistaraabu akawa ananiuliza huku ananipa makofi tena ya nguvu nami kujihami nikampopoa na chupa,nguvu za kujibu hakua nazo afu nilijua nimeua nikatoka mbio uzuri bodaboda zilikua karibu nikajipakia nikaondoka zangu mpaka nyumbani kesho yake nikatimkia mkoa mwingine.
 
tembea na madada wa3 wa tumbo 1, nilianza wa 2 nikaja wa kwanza, nikamalizia na wa 3, sasa watu ndo alitibua kila kitu kwani nilikuta kizinda hakijatolewa, mie ndio kukitoa dada zake kuuliza nani huyu wakasema ni flani, kila dada alinifata kwa muda wake si matusi hayo niliyomiminiwa
 
Sasa ndio nini ongea kitu kieleweke ulichomfanyia hujakisema wewe ndio boya kuliko aliekulia tunda lako
 
Habari wakuu,

Misukosuko ya mapenzi iliyonikuta ilinifanya nitende unyama mkubwa sana hapa duniani! Yule mwanamke naamini hadi anaingia kaburini hata sahau ukatili niliomfanyia, hata awapo na mumewe au na wanawe hii sura lazima itabaki moyoni mwake tuu.

Kwa tabia yake ya kujichanganya na watu kibao na kujifanya marafiki zake nilipata habari ya uhakika na nilidhibitisha nilichokifanya hiyo siku nilimtafuta yule boya* alienilia tunda langu nikampa kipigo hatari mno japo alifanikiwa kuning'ata ila kipigo nilichompa hadi leo ananiheshimu na hili jambo limenipa heshima mbele ya jamii inayonizunguka.

Huyu mwanamke hakuwa na kwa kukimbilia na hasira ilienda kuishia kwake. Ni tukio baya sana wakuu hivi nasema bora nisingemfanyia kwani najutia, nimejiwekea historia mbaya maishani mwangu ila kwa kuwa ishatokea nitatafuta jinsi niisahamu hii hali au nimfate nimuombe msamaha tuu yaishe nafsi yangu iwe na amani.
watu wengine bwana sasa hili ni suala la kujivunia kweli? unampigaje mwanamke ambaye hata hujamuoa? wanawake kweli mna kazi yaani mtu hajakuoa then anakupiga, yaani mimi ningekuwa mdada katu nisingekubali kuonewa na wanaume wa aina hii.
 
Back
Top Bottom