Kitendo hatari ulichowahi mfanyia mpenzi wako

Mr kasafili mwaka mzima nje ya nchi...mmmmhhh ....siku moja x wangu wa zamani niliyekutana naye Ngara wakati Rwanda genocide akanifuata, mara ya kwanza nilimkatalia, na kumwacha lodge mwenyewe....siku ya pili alinivuta taratiiiibu na kunigegeda. Any way Mungu anisamehe yalikuwa majalibu wallahi!
 
Alinikimbia wakati huo nafanya kazi garage akampata mume wa mtu agent wa mabasi yaendayo arusha na moshi, nairobi kampuni ya k, sasa kasahau nilikomtoa, sasa kashamwagwa na mimi namilili mabasi sasa
 
Sikumbuki kumfanyia MTU ubaya, sikumbuki only kipindi flani kuna kabint kalikua kananipiga mizinga sana, naapa sijawahi kukapenda maana Nilikua na commitment nyingine so akachukulia advantage, Shetani yupo nikaona hii investment mbona siilewi?? Nikaomba nikapigwa Calendar, siku moja tukawa tunachati akaongea nyodo kuwa Laki laki ninazompatia mbona hata BF wake ana uwezo wa kumpa so natakiwa niongeze dau ndio nimpate. Kwa kua yeye ndio kanijengea mazingira ya Mimi kumtokea nikaona isiwe shida nikamkatia mawasiliano. Ila Yale maneno niliyahifadhi, siku moja akatuma meseji za mahaba, nzuri nzuri tamu tamu nikajua kinachofuata hapa ni mzinga tu. Ghafla topic ikabadilika akaniomba elfu hamsini, Hahahaha sikuonyesha hasira nikamwambia nitampa, sikumpa akaja akakumbushia tena kuwa ni pesa ya kulipia kitu Fulani muhimu Sana na kwamba Mimi tu ndio Nilikua Tumaini lake na kwamba deadline ilikua imekaribia saaaana, nikamwambia usijali nitakupa Dear, last minute ananikumbushia na kutuma meseji mfululizo nikamjibu kwa kifupi tu kuwa Mbona hio pesa ni ndogo sana, Nenda kwa yule BF wako akupatie, za kwangu ni pesa ndogo ndogo!!!! Hahahahahahahaaaaa alilaaani saaaana na since then hatujawahi kuwasiliana hadi Leo.
 
Mr kasafili mwaka mzima nje ya nchi...mmmmhhh ....siku moja x wangu wa zamani niliyekutana naye Ngara wakati Rwanda genocide akanifuata, mara ya kwanza nilimkatalia, na kumwacha lodge mwenyewe....siku ya pili alinivuta taratiiiibu na kunigegeda. Any way Mungu anisamehe yalikuwa majalibu wallahi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikumbuki kumfanyia MTU ubaya, sikumbuki only kipindi flani kuna kabint kalikua kananipiga mizinga sana, naapa sijawahi kukapenda maana Nilikua na commitment nyingine so akachukulia advantage, Shetani yupo nikaona hii investment mbona siilewi?? Nikaomba nikapigwa Calendar, siku moja tukawa tunachati akaongea nyodo kuwa Laki laki ninazompatia mbona hata BF wake ana uwezo wa kumpa so natakiwa niongeze dau ndio nimpate. Kwa kua yeye ndio kanijengea mazingira ya Mimi kumtokea nikaona isiwe shida nikamkatia mawasiliano. Ila Yale maneno niliyahifadhi, siku moja akatuma meseji za mahaba, nzuri nzuri tamu tamu nikajua kinachofuata hapa ni mzinga tu. Ghafla topic ikabadilika akaniomba elfu hamsini, Hahahaha sikuonyesha hasira nikamwambia nitampa, sikumpa akaja akakumbushia tena kuwa ni pesa ya kulipia kitu Fulani muhimu Sana na kwamba Mimi tu ndio Nilikua Tumaini lake na kwamba deadline ilikua imekaribia saaaana, nikamwambia usijali nitakupa Dear, last minute ananikumbushia na kutuma meseji mfululizo nikamjibu kwa kifupi tu kuwa Mbona hio pesa ni ndogo sana, Nenda kwa yule BF wako akupatie, za kwangu ni pesa ndogo ndogo!!!! Hahahahahahahaaaaa alilaaani saaaana na since then hatujawahi kuwasiliana hadi Leo.

Uliliwa wewe hukula pamoja na hayo yote
 
Habari wakuu,

Misukosuko ya mapenzi iliyonikuta ilinifanya nitende unyama mkubwa sana hapa duniani! Yule mwanamke naamini hadi anaingia kaburini hata sahau ukatili niliomfanyia, hata awapo na mumewe au na wanawe hii sura lazima itabaki moyoni mwake tuu.

Kwa tabia yake ya kujichanganya na watu kibao na kujifanya marafiki zake nilipata habari ya uhakika na nilidhibitisha nilichokifanya hiyo siku nilimtafuta yule boya* alienilia tunda langu nikampa kipigo hatari mno japo alifanikiwa kuning'ata ila kipigo nilichompa hadi leo ananiheshimu na hili jambo limenipa heshima mbele ya jamii inayonizunguka.

Huyu mwanamke hakuwa na kwa kukimbilia na hasira ilienda kuishia kwake. Ni tukio baya sana wakuu hivi nasema bora nisingemfanyia kwani najutia, nimejiwekea historia mbaya maishani mwangu ila kwa kuwa ishatokea nitatafuta jinsi niisahamu hii hali au nimfate nimuombe msamaha tuu yaishe nafsi yangu iwe na amani.
Sasa ulimfanya nn
 
Back
Top Bottom