Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,420
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo tarehe 8/07/2023 Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), Chama kinachotajwa kuwa na Wanachama wengi zaidi kuliko chama chochote cha Siasa Nchini Tanzania wanakutana Mkoani Dar es Salaam.
Kikao hicho kizito ambacho mara zote ndio kinachotoa Mwongozo pamoja na Dira ya Taifa kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe .
Endelea kututegea sikio.
Kikao hicho kizito ambacho mara zote ndio kinachotoa Mwongozo pamoja na Dira ya Taifa kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe .
Endelea kututegea sikio.