Kitendo cha Nyalandu kuhudhuria Kamati Kuu ya CHADEMA kinamaanisha ameshazawadiwa ujumbe wa KK?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,219
2,000
Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,307

Shughulikia kwanza rushwa inayotembea kwenye chaguzi za UVCCM ya Chadema huyawezi.
 
morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,362
2,000
Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.
Inakuuma nini wewe mwanaccm !!??
 
kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
5,495
2,000
Chadema hakuna biashara ya watu so hamna siri yoyote ndo mana hadi Chakubanga wenu alipewa mwakiko na CDM wateue mwakilishi ahudhurie kikao cha KK
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,247
2,000
Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.
Mbona ya ccm waliingia hadi wakina Masha? Umeona hivyo tu au!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom