Kitendo cha Nyalandu kuhudhuria Kamati Kuu ya CHADEMA kinamaanisha ameshazawadiwa ujumbe wa KK?

Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.
Kapu la mjanja mjinga hatii mkpno
 
mtu mwenye pesa zake anashindwaje kuingia....wakati cdm kuna njaa
 
Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.
Uwanja wa ndege chato ulizawadiwa na KK, Bunge? Basi yachukulie hivyo hivyo
 
Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.
Ukishajiunga na Chadema wewe ni automatic mjumbe wa kamati kuu. BAK hiki ndicho chama usiku na mchana unakurupuka kukitetea. Heri CCM yetu
 
tupe ushahidi kuwa kaingia kwenye kikao
eeda76755842d7bf3c5477c4d40f4d65.jpg
 
Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.

Katambi, Nsando, Mwigamba na Kitila walikua kwenye kikao nyeti cha CCM hapo Ikulu kmbe wao ni wajumbe??
 
Huko mambo yanakwenda kwa matakwa ya wenye chama na sio kwa kufuata taratibu za chama, mtu yeyote mweledi hawezi poteza muda na chama cha namna hiyo.
 
Mbona ya ccm waliingia hadi wakina Masha? Umeona hivyo tu au!!
Wale walienda kujiunga na chama kwa mara ya kwanza walikuwa hawajapewa hata kadi ya chama.Nyalandu kadi ya chadema alishapewa na kupokelewa .SASA HUKO KAMATI KUU KAFUATA NINI? Wakati ni mwanachama wa kawaida tu mwenye kadi yake
 
Siasa za Tz inahitaji uwe na akili ndogo kuzielewa otherwise usitake kuzielewa we una flow tu na upepo...
Ila ukitaka kuelewa kila kitu utabaki unaumia
 
Back
Top Bottom