MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,604
Bora amefariki kumnusuru Baba akeNasikia dogo amefariki
Bora amefariki kumnusuru Baba akeNasikia dogo amefariki
Kamuongezea baba machunguBora amefariki kumnusuru Baba ake
yaani hata kama kuna dharula nyumba ni?!?! Au napitisha tu mboga. Sasa huyu alienda kuosha gari kuna kosa kuoshea nyumbani kwake?!?! Wajameni haya matukio yanatokea sana duniani yuko mmoja majuzi hapa aliiba ndege akaigongesha!!!. Tusitumie bahati mbaya hii kulaumiana na kuzushianaLabda wazuie lisilale nyumbani lakini kuzuia lisiende nyumbani ni ujinga.
Na huyo dogo anatakiwa apumzike tu kwa amani kwakweli.
wanaoosha huwa hawafungi mkanda, kwanza hushusha viooHuyo hata mkanda nadhani hakufunga.
R.I.P
Kuna vitu havizuiliki we nae,hayo magari yanaendeshwa na watu na siyo mizimu kutoka sayari nyingine..nimetoka kuosha gari nikaona bucha ikanunua mboga na nyumbani kwangu ni uelekeo huo huo wa ofisini nisipitishe hiyo mboga kweli??haiwezekani! sema tu watu wawe na weredi kwenye mali za serikali ma mashirika na siyo kuwazuia kwa mambo madogo madogo kiasi hicho,huyo yeye yamkini alikua ni dereva asiyejali kampa gari mtoto wake na akaleta madhara.tena huyo anapaswa tu kusamehewa na kwa kitendo hicho hawezi kurudia wala wengine kufanya uzembe huo.story iko hivi!
Watetezi wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wanadai kwamba dreva alichukua Gari hilo kwenda kuliosha nyumbani kwake;
Alipomaliza kuliosha mgeni akaingia, Akaliacha Gari hilo likiwa silencer, akaingia ndani kuteta na mgeni;
Mtoto nae akaliiba kwenda kuoshea mtaani ndipo akalipiga chini!
Baada ya dereva (baba) kupata taarifa ya ajali (alizimia)
(Ukichambua coincidence hii pamoja na kwamba haina logic)
Bali imekiuka agizo la waziri Mkuu;
Ambapo alipiga marufuku madreva wote wa magari ya serikali kwenda na magari nyumbani mwao!
...............
Mambo kama haya;
YAMKINI HATA DOGO ALITUMWA AKANUNUE SODA YA MGENI CHAP
- Ndiyo yanayofanya magari ya serikali kutumia mafuta mengi pasipo sababu
- Yanachangia magari ya serikali kusafilisha magendo
- Yanachangia vipuri na spea za magari ya serikali kuibiwa na kubadilishiwa
- Tunayapisha njiani kwa ving'ora kumbe house girl kaliiba ili awahi gengeni nk
daaaah jiwe akipata hii habari, namhurumia sana dereva sijui pssf yake itabaki salama.., gharama ya gari si chini ya 250m jiwe atamuacha salama kweli? ikiwa mimi situation yangu kwa sasa kazini ni ndogo tu lakini ninavyopelekeshwa natamani hata wanifukuze kazi tu niachane nao kwa huyu ni mungu tu aweke mkono wake aisee
Amekufa itabanwa maitihuyo dogo ataenda kubanwa gereji kule central, atatapika ukweli wote kwa uwoga end of the day atamchoma baba yake
Ndio boss. Kul nafs zaikatul maut.Maneno huumba. Dhima yako imefanikiwa.
Dah! Sentensi ya mwisho imejaa Mambo ya uswahiliniMalezi ya mtoto hayako sawa.
Ofisi ya baba siyo ya kucheza nayo.
Haijalishi gari iko silent au loud ila ni ofisi ya baba hiyo hauchezi nayo.
Mfano akafukuzwa kazi na hali ikawa mbaya wanafamilia watakua wanakuangalia kwa jicho la "Yote umeyataka wewe"