Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

daaaah jiwe akipata hii habari, namhurumia sana dereva sijui pssf yake itabaki salama.., gharama ya gari si chini ya 250m jiwe atamuacha salama kweli? ikiwa mimi situation yangu kwa sasa kazini ni ndogo tu lakini ninavyopelekeshwa natamani hata wanifukuze kazi tu niachane nao kwa huyu ni mungu tu aweke mkono wake aisee
Wacha maringari.kazi nzuri ukiwa nayo.Kwanini usubiri ufukuzwe usijifukuzishe mwenyewe?
 
"Kutokujua sheria sio sababu ya kutohukumiwa" Acha wavune walichopanda Baba ni kilaza na mtoto ni kilaza
 
Baba na mtoto wote sukuma ndani, walipe matengenezo ya gari.
Maana hapo ni wazi kwamba sio mara ya kwanza kwa huyo mtoto kuendesha hilo gari, ni mazoea yake na baba yake huenda hajawahi mkanya kisawa sawa ndio maana dogo anaona poa tu kukanyaga mafuta

Umejaribu kuvaa viatu vyao?....kua na ubinadam kidogo!
 
story iko hivi!

Watetezi wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wanadai kwamba dreva alichukua Gari hilo kwenda kuliosha nyumbani kwake;

Alipomaliza kuliosha mgeni akaingia, Akaliacha Gari hilo likiwa silencer, akaingia ndani kuteta na mgeni;

Mtoto nae akaliiba kwenda kuoshea mtaani ndipo akalipiga chini!

Baada ya dereva (baba) kupata taarifa ya ajali (alizimia)

(Ukichambua coincidence hii pamoja na kwamba haina logic)

Bali imekiuka agizo la waziri Mkuu;
Ambapo alipiga marufuku madreva wote wa magari ya serikali kwenda na magari nyumbani mwao!
...............
Mambo kama haya;
  • Ndiyo yanayofanya magari ya serikali kutumia mafuta mengi pasipo sababu
  • Yanachangia magari ya serikali kusafilisha magendo
  • Yanachangia vipuri na spea za magari ya serikali kuibiwa na kubadilishiwa
  • Tunayapisha njiani kwa ving'ora kumbe house girl kaliiba ili awahi gengeni nk
YAMKINI HATA DOGO ALITUMWA AKANUNUE SODA YA MGENI CHAP
Acha mawazo potofu kwani kuiba vipuri mpaka liende nyumbani,
 
Umejaribu kuvaa viatu vyao?....kua na ubinadam kidogo!

Mkuu ukileta huruma kwenye maswala ya sheria mambo hayatakuja kwenda sawa hata siku moja.
Nina huruma sana, hata la huyo dereva limenisikitisha sana, kosa lazima liwekwe wazi ili iwe funzo na kwa wengine.
 
daaaah jiwe akipata hii habari, namhurumia sana dereva sijui pssf yake itabaki salama.., gharama ya gari si chini ya 250m jiwe atamuacha salama kweli? ikiwa mimi situation yangu kwa sasa kazini ni ndogo tu lakini ninavyopelekeshwa natamani hata wanifukuze kazi tu niachane nao kwa huyu ni mungu tu aweke mkono wake aisee
Jiwe hana shida na kanda ya ziwa.niamini dogo na babake watabaki salama kabisa
 
Duuuh jinga kabisa
story iko hivi!

Watetezi wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wanadai kwamba dreva alichukua Gari hilo kwenda kuliosha nyumbani kwake;

Alipomaliza kuliosha mgeni akaingia, Akaliacha Gari hilo likiwa silencer, akaingia ndani kuteta na mgeni;

Mtoto nae akaliiba kwenda kuoshea mtaani ndipo akalipiga chini!

Baada ya dereva (baba) kupata taarifa ya ajali (alizimia)

(Ukichambua coincidence hii pamoja na kwamba haina logic)

Bali imekiuka agizo la waziri Mkuu;
Ambapo alipiga marufuku madreva wote wa magari ya serikali kwenda na magari nyumbani mwao!
...............
Mambo kama haya;
  • Ndiyo yanayofanya magari ya serikali kutumia mafuta mengi pasipo sababu
  • Yanachangia magari ya serikali kusafilisha magendo
  • Yanachangia vipuri na spea za magari ya serikali kuibiwa na kubadilishiwa
  • Tunayapisha njiani kwa ving'ora kumbe house girl kaliiba ili awahi gengeni nk
YAMKINI HATA DOGO ALITUMWA AKANUNUE SODA YA MGENI CHAP
 
Malezi ya mtoto hayako sawa.

Ofisi ya baba siyo ya kucheza nayo.

Haijalishi gari iko silent au loud ila ni ofisi ya baba hiyo hauchezi nayo.

Mfano akafukuzwa kazi na hali ikawa mbaya wanafamilia watakua wanakuangalia kwa jicho la "Yote umeyataka wewe"
Wamemsingizia,unakuta dingi huwa anampa kuendesha
 
Mzee amevunja miiko ya kazi ya udereva
Lakini pia nawakumbusha hata ninyi tabia nakwenda kuosha hizo Ist zenu halafu funguo munawaachia waoshaji Kuna siku zitawakosti

Sio kosa Dereva wa Serekali kwenda na gari nyumbani kosa ni kuacha Gari on wakati wew haupo ndani hasa gari kama hiyo ya kiongozi mkubwa nimakosa makubwa sana kwenye fani yetu ya udereva
Nainaweza kumpelekea kufukuzwa kazi kwa sheria ya uzembe
Lakini je kweli ni mara yakwanza mtoto kufanya hivo
Je huyu mtoto akiiendesha gari huko baranarani hakuna watumishi walio muoma nakutambua kuwa huyu siye Dereva au alipita njia isiyo na watu
There is something behind it
 
Dogo nae fuckin kulea mitoto kindez ndez matokeo ndo hayo inatakiwa watoto wamuogope baba mfano hili gar la baba,hiki chumba cha baba hili kochi la baba
Naongeza nyama kdg. Licha ya kumuogopa wamuheshimu kuoita maelezo. Wamsikilize hata kama hawana masikio..
 
story iko hivi!

Watetezi wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wanadai kwamba dreva alichukua Gari hilo kwenda kuliosha nyumbani kwake;

Alipomaliza kuliosha mgeni akaingia, Akaliacha Gari hilo likiwa silencer, akaingia ndani kuteta na mgeni;

Mtoto nae akaliiba kwenda kuoshea mtaani ndipo akalipiga chini!

Baada ya dereva (baba) kupata taarifa ya ajali (alizimia)

(Ukichambua coincidence hii pamoja na kwamba haina logic)

Bali imekiuka agizo la waziri Mkuu;
Ambapo alipiga marufuku madreva wote wa magari ya serikali kwenda na magari nyumbani mwao!
...............
Mambo kama haya;
  • Ndiyo yanayofanya magari ya serikali kutumia mafuta mengi pasipo sababu
  • Yanachangia magari ya serikali kusafilisha magendo
  • Yanachangia vipuri na spea za magari ya serikali kuibiwa na kubadilishiwa
  • Tunayapisha njiani kwa ving'ora kumbe house girl kaliiba ili awahi gengeni nk
YAMKINI HATA DOGO ALITUMWA AKANUNUE SODA YA MGENI CHAP
Nini Agizo la majaliwa watu hawafuati hata ya Ankali,Magari ya serikali yanalala majumbani kwa madereva na sio CCM wala ofisini,watu wanakula rushwa kama kawaida huko kwenye maofisi ya umma.
 
Dogo nae fuckin kulea mitoto kindez ndez matokeo ndo hayo inatakiwa watoto wamuogope baba mfano hili gar la baba,hiki chumba cha baba hili kochi la baba
We jamaa umenikumbusha enzi hizi mshua anaacha kalamu kitandani makusudi Sasa ole wako akute imegeuzwa hicho kipondo,utamuita izrael aje kumchukua
 
Ha ha haaaaaa,, mkuu mlikuwa kwenye gereza! Naamini kwako sasa hivi hakuko hivyo! Huwezi ukawa na kochi lako special!
[/QUOTE
Sio kila kitu alichonunua baba lazma mtoto akitumie , kwan kama yapo makochi mengi kwn tukisema hili baba ndo anapendaga tuliache liwe smart kwa ajili yake kuna ubaya hata kanisani lazma kuwe na sit za wazee Wa kanisa ,matabaka hata mbinguni yatakuwepo huwez kukaa sit moja na Musa au Ibrahim wewe
 
Back
Top Bottom