Kitendo cha gari la Mkuu wa Mkoa Mara kugongeshwa na mtoto wa dereva ni dhahiri agizo la Waziri Mkuu lilipuuzwa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,601
2,000
story iko hivi!

Watetezi wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wanadai kwamba dreva alichukua Gari hilo kwenda kuliosha nyumbani kwake;

Alipomaliza kuliosha mgeni akaingia, Akaliacha Gari hilo likiwa silencer, akaingia ndani kuteta na mgeni;

Mtoto nae akaliiba kwenda kuoshea mtaani ndipo akalipiga chini!

Baada ya dereva (baba) kupata taarifa ya ajali (alizimia)

(Ukichambua coincidence hii pamoja na kwamba haina logic)

Bali imekiuka agizo la waziri Mkuu;
Ambapo alipiga marufuku madreva wote wa magari ya serikali kwenda na magari nyumbani mwao!
...............
Mambo kama haya;
  • Ndiyo yanayofanya magari ya serikali kutumia mafuta mengi pasipo sababu
  • Yanachangia magari ya serikali kusafilisha magendo
  • Yanachangia vipuri na spea za magari ya serikali kuibiwa na kubadilishiwa
  • Tunayapisha njiani kwa ving'ora kumbe house girl kaliiba ili awahi gengeni nk
YAMKINI HATA DOGO ALITUMWA AKANUNUE SODA YA MGENI CHAP
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
18,511
2,000
Malezi ya mtoto hayako sawa.

Ofisi ya baba siyo ya kucheza nayo.

Haijalishi gari iko silent au loud ila ni ofisi ya baba hiyo hauchezi nayo.

Mfano akafukuzwa kazi na hali ikawa mbaya wanafamilia watakua wanakuangalia kwa jicho la "Yote umeyataka wewe"
 
Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
508
1,000
Kwa nionavyo Mimi wametafuta utetezi ili kumtoa baba kwenye kosa kubwa la kugawa gari kwa mtoto abaki na kosa LA kutozima gari na kutemvea na funguo

Ila jusema mototo kaiba gari nakataa lazima dogo alikua na mazoea ya kuliendesha hill gari kwa shughili za familia au binafsi
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,373

kati ya vitu ambavyo nlikuwa sina mzuka navyo tokea utotoni mwangu ni mali za bab yangu, hata gari lake nlikuwa sigusi, nikiamini kuwa lazima niwe na vyangu,
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,279
2,000
daaaah jiwe akipata hii habari, namhurumia sana dereva sijui pssf yake itabaki salama.., gharama ya gari si chini ya 250m jiwe atamuacha salama kweli? ikiwa mimi situation yangu kwa sasa kazini ni ndogo tu lakini ninavyopelekeshwa natamani hata wanifukuze kazi tu niachane nao kwa huyu ni mungu tu aweke mkono wake aisee
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,373
2,000
Kwa nionavyo Mimi wametafuta utetezi ili kumtoa baba kwenye kosa kubwa la kugawa gari kwa mtoto abaki na kosa LA kutozima gari na kutemvea na funguo

Ila jusema mototo kaiba gari nakataa lazima dogo alikua na mazoea ya kuliendesha hill gari kwa shughili za familia au binafsi
huyo dogo ataenda kubanwa gereji kule central, atatapika ukweli wote kwa uwoga end of the day atamchoma baba yake
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,373
2,000
daaaah jiwe akipata hii habari, namhurumia sana dereva sijui pssf yake itabaki salama.., gharama ya gari si chini ya 250m jiwe atamuacha salama kweli? ikiwa mimi situation yangu kwa sasa kazini ni ndogo tu lakini ninavyopelekeshwa natamani hata wanifukuze kazi tu niachane nao kwa huyu ni mungu tu aweke mkono wake aisee
Na ndio shida ya jiwe vitu vidogo kama hivi huwa hataki kupitwa ndio maana hadhi yake inashuka, kawa wamchangani sana skuizi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom