Kitendawili.... tega...

Kitendawili.... tega...

Ushawahi kupeta mchele wewe?Kama mkeo au ndugu yako yoyote wa kike akipeta mchele mtazame uchunguze mchele unapetwaje uone na rythm yake!!
inaonyesha umekulia kwa babu na bibi maana unavipatia aisee
 
Ni muhogo. Unamenya na kutupa maganda, unapika muhogo, wakati wa kula unakula muhogo na kutupa mzizi ulio katikat ya muhogo.
 
Hindi uliliona wapi wakati unaishi magorofani toka umezaliwa? Mambo vipi lakini?
 
Back
Top Bottom