Nuksi

Nuksi

AFRI TALL

Member
Joined
Sep 19, 2026
Posts
6
Reaction score
1
Ukiwa ndani kwako ukasikia sauti kama ya gongo gongo hivi☠️ ujue Kuna gari hivi ambayo siyo ya kawaida imefika hapo mtaani
Na wewe vile ulivyo hulalagi bila ya Cha kuamkia!
Unajukuta unashindwa kuficha au kutupa kitu kidogo kama pipikali
 
Back
Top Bottom