Kitendawili.... tega...

Kitendawili.... tega...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,097
Reaction score
43,309
1. Unatupa cha nje ili ule cha ndani; ukishapika unakula cha nje na kutupa cha ndani!

Ni nini hicho?
 
Mlonge ndio nini?
Ni aina fulani ya mti ambao ni dawa ya magonjwa mengi mno.
Moringa-Oleifera.jpg

Nalog off
 
Jibu ni Hindi..mdau hapo juu kapatia.



2. Pa kuenda mbindimbindi pa kurudi nda nda! Ni nini hichi?
 
Back
Top Bottom