Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Hongera sana kwa kutoa ushauri mzuri sana ingawa naona kama umeangukia jangwani tu hapo
In God we Trust
Mpeni ushauri mzuri mh. Rais kama kweli mnampigania na mnampenda, muokota makopo barabarani ni mtu anayesaidia kuondoa takataka hatari za plastic barabarani, hivi wakiacha kuokota wataajiri waokota makopo?, hebu muwe mnatoa ushauri mzuri sio ushabiki usio na maana
In God we Trust