Kitandani kwetu...

Pole sana dada. lakini naomba huyo mmeo mwone kama mwovu ila wa siku hiyo. Msamehe nadhani ni fundisho hawezi kurudia tena , fikiria katika maisha yako umewakoesa wangapi lakini wakasamehe. nijuavyo hakuna binadamu mkamilifu, ingawa lake hili ni zito kuchafua kitanda.]ILA UKIMSAMEHE ATAKUHESHIMU MAISHA[

CHONDE CHONDE RUDISHA MOYO

mutezi
 
Wana JF, uamuzi ninaoona unafaa ni kumtaliki, kwa sababu amekuwa akinidangaya kwa kisingizio kuwa eti ana presha!
Dada yangu hapo hakuna cha msalie mtume......mpige buti huyo mzinzi mkubwa kuna watu kibao tuko single hatuna tabia za namna hiyo(Pm me pls)
 
Pole sana dada. lakini naomba huyo mmeo mwone kama mwovu ila wa siku hiyo. Msamehe nadhani ni fundisho hawezi kurudia tena , fikiria katika maisha yako umewakoesa wangapi lakini wakasamehe. nijuavyo hakuna binadamu mkamilifu, ingawa lake hili ni zito kuchafua kitanda.]ILA UKIMSAMEHE ATAKUHESHIMU MAISHA[

CHONDE CHONDE RUDISHA MOYO

mutezi

My dear mi nina uhakika kutokana na maoni mbali mbali ya wana-JF at least utakuwa umepata mahali pa kuanzia kuelekea kwenye uwamuzi wowote utakaofikia kwani hapa umepata mitazamo tofauti na maoni ya watu kulingana na feelings zao juu ya tatizo lako.

Finally, decision ya mwisho ni juu yako wewe na nafsi yako. any attempt kuhusisha sana relatives aidha wako au wa mume wako unaweza kufanya maamuzi mabovu kwani uzoefu unaonyesha kuwa siku zote ndugu wote watapenda usamehe kama baadhi ya wanaJF walivyoshauri bila ya kuzingatia uzito wa jambo lenyewe na wewe ndio utakaebaki ndani ya hicho kikaangio baada ya wote kuondoka.

So kwa mtazamo wangu amua kwa busara ukizingatia mambo yafuatayo;
(a) Usalama wako katika mapenzi hapa naamanisha ule upendo uliokuwa unaota/kutarajia kuupata once ukiolewa utaendelea kuupata toka kwa mumeo baada ya kumfumania live? (b) Una uhakika kiasi gani kuwa hili jambo halitatokea tena kwa huyu jamaa yako kuwa na mahusiano na wanawake wengine?? Kumbuka ulimkuta ndani ya chumba na kitanda chenu!!! (c) Do you think utakuwa tayari kutoa kiwango cha mapenzi/upendo wa dhati kwa mumeo kama hapo nyuma?? (d) Jiweke wewe kwenye nafasi ya mumeo kuwa suppose angekukuta uko na mwanaume mwingine kwenye kitanda chenu kingetokea nini?? (e) Nafsi na usalama wako katika mahusiano ni muhimu sana usilazimishe kwa mazoea angalia hatma yako ukizingatia kuwa una haki sawa ya kupenda na kupendwa na si kudhalilishwa huenda alichofanya mumeo ni mwanzo wa matukio mabaya yatakayoweza kutokea mbeleni..be carefull!!!

Na mwisho laiti ningekuona physically, ningeenda mbali zaidi katika ushauri wangu nina imani wewe ni mwanamke mrembo unaeweza kumvutia mwanaume na ukapata mtu mwenye upendo wa dhati na mwenye kuheshimu kuwapo kwako.

Amani iwe juu yako!!!
 
Ndugu usiangaike na kumwacha mweleweshe dhambi yake na atubu tena kwa dhati...mpende tena mweshimika!

Hebrews 13:4 *Marriage is honourable in all, and the bed undefiled: but whoremongers and adulterers God will judge.
 
Hauwezi kupata ushauri wa kufanya maamuzi kutoka ktk hii forum, mtu anayewapa ushauri inabidi awafahamu vizuri nyie wote wawili, na kujua mazingira yaliyopelekea kitendo hicho, hilo jambo ni wewe mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kulifanyia maamuzi. Hatutaweza kutenda haki kwa kukusikiliza upande mmoja.
 
Whatever the sababu iliyopelekea bwana kufanya hivyo.... kumleta kitandani kwetu!!! mh hapana bado ni unyama.
 
Ndugu usiangaike na kumwacha mweleweshe dhambi yake na atubu tena kwa dhati...mpende tena mweshimika!

Hebrews 13:4 *Marriage is honourable in all, and the bed undefiled: but whoremongers and adulterers God will judge.

Mh.... i just wish haya yangekuwa yanaapply kwa kina mume pia... but mara nyingi tunasikia mume kamwacha mkewe kwa vile ni mwasherati----- jamani mbona hawa hawaambiwagi hivi na wakasikia?

Kusema kweli mwanamke anapofumaniwa na mumewe sijawahisikia hata siku moja akiambiwa vumilia ndio ndoa... sanasana atashangawa sana kama atamsamehe ah
 
pole sana dada kwa yaliyokukuta ila wanaume wetu kwa asilimia kubwa ndivyo walivyo wanafanya kosa alafu wanasema shetani kanipitia, ila huyo ni mume wako tu ata ufanyeje la kufanya omba Mungu tu ambadilishe tabia asikanyage magonjwa haya yasikuizi mimi na imani kuwa Mungu ni muweza wa yote.
 
Girlfriend, forgive him, as the holy books tells us. But then, get the hell out of there!! women should always have insurance jamani, something to fall back on when such happens, si unakazi? well go rent a place if you dont have one. Usiogope kama una m/watoto, u'll manage my dear, mothers have super powers when it comes to their children, you just have to unveil them. Utaletewa ukimwi bure!!! Run for your life dada yangu, uuwi!! Good luck, now go get your bags
 
Palloma,
your offending husband should apologize to you first before you start your dialogue.

He should not have brought some other woman to you matrimonial bed!!!that is total disregard of your feelings and happiness let alone diseases that he could have picked up.

If you caught him this time how many times do you think he has done hicho kitendo.....I dare say many times. Siku za mwizi ni Arobaini...You caught him red handed. God is looking out for you... Pray for guidance from God and he will show you the way.
If you must stay with him tumia Condom. I have heard and it is recommended that married couples use condom to avoid any situations that can arise when the husband or the wife is cheating. This can bring all sorts of diseases. Do you know the other woman? If you do please muaibishe mbele ya kila mtu...asije akarudia hiyo tabia ya kulala na mabwana za watu.
 
pole sana kwa yaliyokukuta.jaribu kufanyia kazi ushauri ulioupata kutoka kwa wana jf.ila inahitaj utulie kwa muda ili uweze kupata uamuz mzuri.na vile vile uangalie mwanaume mwenyewe anaonyesha kujutia kosa lake au anaona ni sawa tu?kama anaonyesha kujal na kukuplease jarib kumfikiria kwanza.ili asije ukafanya uamuz ambao utakuja kujutia badae
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom