Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
- #21
tatizo hapa ni ile ile theory ya "it's our time to eat'. na ndio maana hatutakaa tukaenda mbele mbali na kubadilishana migodi na ujenzi wa bomba la mafuta!
Hebu angalia hivi vitambulisho:
- TIN certificate
- Cheti cha kuzaliwa
- Kitambulisho cha mpiga kura
- Hati ya kusafiria (passport)
- Driving Licence
- Kitambulisho cha raia
Cha hajabu taarifa zote kwenye hizi documents zi sawa kwa karibia 100% na zinamilikiwa na entity moja ambayo inatumia 'STJ' - Serikali. Sasa ni kwa nini zisiwe kwenye taasisi moja!!!??
Uko sawa mkuu lakini si kikamilifu.
TIN number anaweza kuwa nayo ye yote anayefanya biashara nchini Tanzania, raia na asiye raia
Birth certificate inaonyesha ulipozaliwa si unapoishi
Driving license hata asiye raia anaweza kuwa nayo kama anaishi nchini kihalali
Cha msingi kitambulicho cha uraia na Passport ni vitu sawa tu, kwangu nachagua moja basi, nina passport inatosha.