Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Unajua kaka hapa utabishana na watu bure ambao wana mihemuko tu ambayo haina maana, mostly of Iran weapons wananunua, hizi zao mingi ni propogandas, and supply wakubwa wa weapons dunian ni Russia na Usa ambao wanajuana, huyu Iran anapiganaje na USA? Kwanza anatokaje? Umeshaaangalia hata Geografia tu ukaona bases za kimarekan zilivyomzunguka? Majiran zake woote ni vibaraka wa marekani, mtu ambae button moja tu ikininywa ya swift ama internet kuwa off anakuwa gizan moja kwa moja, nchi ambayo all commercial and army planes bado anategemea west tech, even his satelite.....hii ni business tuu inayofanywa lakin nakwambia Washington pale watu wataendelea kupiga cheers bila hata kujua nini kinaendelea dunian huku Iran ikichapwa kama mtoto. Ukisikia Usa akisema anataka uungwaj mkono sio kama haiwez kwenda vitan pekee, wanaepuka lawama, and wale wanaangalia mbali, wanapeleka wenzao vitan kwa akili ambapo wanajua baadae anarudi mgongo wa nyuma kuwauzia tena silaha, rejea msemo wa Geroge Bush after 9/11 alisemaje? Either your with us or your with them dunia ichague upande wa kusimama, huo ni msemo wa jeuri kabisa...Collin Pawel alisimama UN kipindi vita iraq inaendelea akasema bado tuna uwez wa kupigana vita kama hii mara tatu kwa wakati mmoja. Putin na jeuri yake yoote Bush alienda kuweka ant missile poland pale as ni pua na mdomo na russia, alilalamika ila mwanaume alisema nisha sign nisha sign, Iraq pale baloz wa mwisho kuondoka alikuwa wa russia, and wakat wa rusi wametuma jet kumchukua alilazimishwa kutokea pakstan na magari tena under american escot....sasa Iran ni nan? Kuna msemo unaosema marekan akikohoa dunia hupata mafua...ile ni business tuu
Ndugu hebu rudi kwenye Geographia, Iran wanapiganaje na US?

Huyo US mwenyewe analazimika kujongea na vitendea kazi vyake aje jirani na Iran, ikimaanisha nao Iran watalazimika kufanya hivyo ili waifikie US.

Tofauti na US na UK, Iran akiwa na tatizo na US au UK atapambana na jirani yake yeyote anayedhani ni rafiki wa US au UK..na hapa target itakuwa Israel, Saud n.k, na kumbuka Iran anafadhili vikundi kadhaa vya kigaidi hivyo atahujumu maslahi ya US au UK popote pale magaidi hao watakapofikia...hata TZ mtakumbwa na hilo kwani wale hawajali, hata mkifa Watanzania mia moja nao wakampata Mmarekani au Muingereza mmoja.
 
Unajua kaka hapa utabishana na watu bure ambao wana mihemuko tu ambayo haina maana, mostly of Iran weapons wananunua, hizi zao mingi ni propogandas, and supply wakubwa wa weapons dunian ni Russia na Usa ambao wanajuana, huyu Iran anapiganaje na USA? Kwanza anatokaje? Umeshaaangalia hata Geografia tu ukaona bases za kimarekan zilivyomzunguka? Majiran zake woote ni vibaraka wa marekani, mtu ambae button moja tu ikininywa ya swift ama internet kuwa off anakuwa gizan moja kwa moja, nchi ambayo all commercial and army planes bado anategemea west tech, even his satelite.....hii ni business tuu inayofanywa lakin nakwambia Washington pale watu wataendelea kupiga cheers bila hata kujua nini kinaendelea dunian huku Iran ikichapwa kama mtoto. Ukisikia Usa akisema anataka uungwaj mkono sio kama haiwez kwenda vitan pekee, wanaepuka lawama, and wale wanaangalia mbali, wanapeleka wenzao vitan kwa akili ambapo wanajua baadae anarudi mgongo wa nyuma kuwauzia tena silaha, rejea msemo wa Geroge Bush after 9/11 alisemaje? Either your with us or your with them dunia ichague upande wa kusimama, huo ni msemo wa jeuri kabisa...Collin Pawel alisimama UN kipindi vita iraq inaendelea akasema bado tuna uwez wa kupigana vita kama hii mara tatu kwa wakati mmoja. Putin na jeuri yake yoote Bush alienda kuweka ant missile poland pale as ni pua na mdomo na russia, alilalamika ila mwanaume alisema nisha sign nisha sign, Iraq pale baloz wa mwisho kuondoka alikuwa wa russia, and wakat wa rusi wametuma jet kumchukua alilazimishwa kutokea pakstan na magari tena under american escot....sasa Iran ni nan? Kuna msemo unaosema marekan akikohoa dunia hupata mafua...ile ni business tuu
Sasa ana subiri nini?
 
sitakupa maneno yangu.

baada ya kupinduliwa saddam, some recordings zilipatikana kutoka ikulu yake, moja ya mazungumzo yao yako hapa, enda hapo alafu urudi.
Saddam anaongea na Tariq Aziz na some other guys.
Mkuu hii link haileti maandishi kiukamilifu.
 
Naanza kuona ufinyu wa mawazo yako sasa. Marekani haina ugomvi na Taifa la Iran, Marekani inataka kuwa karibu na Irani kuliko hata ilivyo na Detroit.

Marekani ina ugomvi na viongozi wa Iran wasiotaka kuiacha ifanye inavyotaka nchini humo.

Baada ya Mapinduzi ya mwaka 1979 hicho unachodhani kama uhasama uliotokea ni upotoshaji, marekani na Iran ziliendelea kushirikiana kwa marekani kuiuzia Iran siraha na kuipa misaada mbalimbali iliyowasaidia vitani na Iraq only that hawajawahi kupata wanachokitaka mpaka sasa.
Mkuu ukiwa na ugomvi na viongozi wa nchi husika tayari una ugomvi na nchi pia.
Kwahyo mitandaoni tunadanganywa kuwa Iraq imesaidiwa na USA?

Hii kitu mkuu sikubaliani nayo.
Kwasababu toka 1979 US ilikua inataka kufanya regime change Iran.
Na asingeweza kumsaidia Iran kwasababu alipenda aanguke ili lengo lake la regime change litimie.
 
Marekani ilikuwa inauzia siraha Iran kupitia Israel wakati wote wa vita kati ya Iran na Iraq mpaka siri hiyo ilipokuja kuvuja mwishoni mwa mwaka 1986.
Labda useme kuwa US alikua akifanya biashara ya silaha lakini sio kumsapoti Iran.
Kuna ku support na kufanya biashara mkuu.
Iraq ilikua inapata support ya silaha nzitto mpk za sumu kutoka USA,France bila hata ya kudaiwa.
Inamaana Iran alikua akinunua mweziwe akipewa bure .
Nani alikua akisapotiwa kati ya Iraq na Iran km muktadha ndio huo?
 
Unajua kaka hapa utabishana na watu bure ambao wana mihemuko tu ambayo haina maana, mostly of Iran weapons wananunua, hizi zao mingi ni propogandas, and supply wakubwa wa weapons dunian ni Russia na Usa ambao wanajuana, huyu Iran anapiganaje na USA? Kwanza anatokaje? Umeshaaangalia hata Geografia tu ukaona bases za kimarekan zilivyomzunguka? Majiran zake woote ni vibaraka wa marekani, mtu ambae button moja tu ikininywa ya swift ama internet kuwa off anakuwa gizan moja kwa moja, nchi ambayo all commercial and army planes bado anategemea west tech, even his satelite.....hii ni business tuu inayofanywa lakin nakwambia Washington pale watu wataendelea kupiga cheers bila hata kujua nini kinaendelea dunian huku Iran ikichapwa kama mtoto. Ukisikia Usa akisema anataka uungwaj mkono sio kama haiwez kwenda vitan pekee, wanaepuka lawama, and wale wanaangalia mbali, wanapeleka wenzao vitan kwa akili ambapo wanajua baadae anarudi mgongo wa nyuma kuwauzia tena silaha, rejea msemo wa Geroge Bush after 9/11 alisemaje? Either your with us or your with them dunia ichague upande wa kusimama, huo ni msemo wa jeuri kabisa...Collin Pawel alisimama UN kipindi vita iraq inaendelea akasema bado tuna uwez wa kupigana vita kama hii mara tatu kwa wakati mmoja. Putin na jeuri yake yoote Bush alienda kuweka ant missile poland pale as ni pua na mdomo na russia, alilalamika ila mwanaume alisema nisha sign nisha sign, Iraq pale baloz wa mwisho kuondoka alikuwa wa russia, and wakat wa rusi wametuma jet kumchukua alilazimishwa kutokea pakstan na magari tena under american escot....sasa Iran ni nan? Kuna msemo unaosema marekan akikohoa dunia hupata mafua...ile ni business tuu
Mkuu umeongea mengi/mingi

Ila umeweka mahaba

Yaani WAAJEMI Silaha wananunua kuliko wanazotengeneza wenyewe

Ina maana US Alivyojitoa kwenye JCPOA Na akaweka takwa la IRAN Kuachana na Urutubishaji wa Nyuklia na Kuachana na makombora ya masafa marefu alikua ana danganya

Katafte watoto mkuu uwadanganye
 
Mkuu unamchukulia poa China.
Usikae ukakariri ya mtandaoni.
Ebu nenda kamuulize USA nini kilichomkimbiza South China sea alipoenda kuweka battle ships zake akidai kuwa south china sea ni international marines ila kuna vyuma alivionesha China vinapiga two targets per once na akamuonya USA arudishe battle ships zake na asirushe fighter jets pale.
US haikubaki na hairushi ht kipepeo pale South China sea.
Usiwachukulie China poa ww.
China peke yake anateketeza NATO nzima.
Maana ana vinu hajavitoa na ni hatari we baki na kusoma data za kwenye google.
Sawa bwana Xi-Jiping wa mbagala
 
Inabd cc 2we watazamaji 2 kwa maan ktakachotokea kwny WW3 itakuwa ni uzallshaj kwa taifa la USA.pia katk taifa lnalchukiwa na wng USA hakosekan pa1 kuwa lnaloongoz ni Iran ikfuatiwa na Iraq
Kwanza vita ikianza uwezi kuwa mtazamaji na wakati unategemea android,ios na windows izo zote watakata konection utaanza kufa wewe kwa kukosa vitu vizuri kutoka kwa beberu wako USA
 
Naona umeandika mada kiushabiki sana. Ungeweka analysis kidogo ya justification kwamba Iran ndio walishanbylia visima vya Saudi Arabia. Waasi wa Yemen -Houthi- wanasema ndio walihusika kulipua visima. Sio Iran
Leo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
 
Bora watengeneze magonjwa yanayohua watu kwa haraka ili sisi waafrika tuwe bussy na mazishi? Maana USA anatusaidia alafu tunaleta dharau. Bara la Africa lipunguze idadi ya watu kwanza akili zitukae sawa, hata apa mtandaoni hapatakalika

Mkuu hii iliwahi kutokea miaka mingi nyuma
Ni njia moja ya kupunguza watu na tutaangamia haswa ingawa wengine watabaki
Lakini sio la kuomba kwa kweli
 
Marekani wa enzi za George Bush sio Marekani wa DT. USA akithubutu kupeleka pua yake Iran ndio utakuwa mwisho wake.
Kwamba iran ananini labda? Ama unataka kutuambia irani anasilaha kali kuliko marekani? A time will tell. Ipo siku iran atafanywa kama japan
 
Ndugu yangu Iran ni taifa lenye uwezo mkubwa sana na ndio maana huyo marekani ana sita kwa sababu anajua madhara ya kuingia vitani na Iran.
Kwahiyo we we usijifanye una akili kuliko viongozi wa Marekani.
Kwahiyo linauwezo kuliko marekan au! Acha kuongozwa na ushabiki mkuu! Penye ukweli sema.
 
Back
Top Bottom