May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,367
- 9,110
Acha ndoto za alinacha, Iran alisimamishwa na Iraq miaka nane na hakuna alichofanya mpaka UN walipoingilia kati, na ni jirani pua na mdomo.Ndugu yangu Iran ni taifa lenye uwezo mkubwa sana na ndio maana huyo marekani ana sita kwa sababu anajua madhara ya kuingia vitani na Iran.
Kwahiyo we we usijifanye una akili kuliko viongozi wa Marekani.
Na hapa wala hakuna ishu ya Iran na Marekani maana hata hawana ujirani, kikubwa anachosita Marekani au hata kushauriwa na wengine ni vurugu ya Iran kwa jirani zake...hapa Marekani analazimika kuwafikiria hao jirani wa Iran, au la yeye ndio atalazimika kuwalinda/wasaidia.
Hata hiyo Nuclear inayohofiwa wala haitofika Marekani, zaidi ni wale majirani zake ndio watakuwa Wahanga.
