Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Bora watengeneze magonjwa yanayohua watu kwa haraka ili sisi waafrika tuwe bussy na mazishi? Maana USA anatusaidia alafu tunaleta dharau. Bara la Africa lipunguze idadi ya watu kwanza akili zitukae sawa, hata apa mtandaoni hapatakalika
Uzuri wa Kufa Hakuchagui Sisi 2naweza 2katangulia 2 Nawao Lazma Watufuate Maana Hakuna Namna
 
Hehehehe
Kwamba iran ananini labda? Ama unataka kutuambia irani anasilaha kali kuliko marekani? A time will tell. Ipo siku iran atafanywa kama japan
IRAN Mwenyewe Alishatangaza Labda US Atumie Zilaha za SUMU Ama ATOMIC Maana Zimekatazwa Nasera Zao Zinakataza Hata Kumiliki hizo mambo

Ila kama watatumia SILAHA Halali kama wanavyodai US Basi Lazma US Akae
 
Labda useme kuwa US alikua akifanya biashara ya silaha lakini sio kumsapoti Iran.
Kuna ku support na kufanya biashara mkuu.
Iraq ilikua inapata support ya silaha nzitto mpk za sumu kutoka USA,France bila hata ya kudaiwa.
Inamaana Iran alikua akinunua mweziwe akipewa bure .
Nani alikua akisapotiwa kati ya Iraq na Iran km muktadha ndio huo?
wakati wote wa vita hivyo marekani ilikuwa ikiiuzia siraha iran, iraq ilikuwa ikipata siraha zake kutoka soviet union.
 
Mkuu hiyo report hapo nimetoa ktk vyenzo vya habari vya US vyenyewe vikisema Iraq alipata support kutoka kwa US,Uk,France na USSR.
Na kuhusu Iran ninaweza kukubaliana nawe huwenda alikua anauziwa silaha.
wakati wote wa vita hivyo marekani ilikuwa ikiiuzia siraha iran, iraq ilikuwa ikipata siraha zake kutoka soviet union.
 
Mkuu ukiwa na ugomvi na viongozi wa nchi husika tayari una ugomvi na nchi pia.
Kwahyo mitandaoni tunadanganywa kuwa Iraq imesaidiwa na USA?

Hii kitu mkuu sikubaliani nayo.
Kwasababu toka 1979 US ilikua inataka kufanya regime change Iran.
Na asingeweza kumsaidia Iran kwasababu alipenda aanguke ili lengo lake la regime change litimie.
kuwa makini na taarifa unazopitia mitandaoni na hata unazosoma kutoka kwenye vitabu, kuna alot of disinformation.

Ni sawa sawa na upotofu uliotapakaa mitandaoni kwamba machafuko yasiyoisha hapo harabuni yanasababishwa na mambo ya imani, tena ukristo na uislam.

ukifuatilia hata misingi ya wachangiaji wengi hapa jf juu ya mambo ya hapo arabia yamejikita kwenye imani zao, kitu ambacho ni upotofu mkubwa sana.

Kuhusu ugomvi ni Marais.
US na marafiki zake, hawatalala hata siku moja wamuachie mtu yeyote yule hata mzawa wa hayo mataifa yenye mafuta afikirie sawasawa. wao wanaamini kabisa kabisa yale mafuta ni yao, sababu waligundua uwepo wake wao.

Rais yeyote atakayejaribu kuweka kauzibe kwenye namna wanajifaidisha na mafuta hayo atasababisha raia wake wapoteze maisha kama atang'ang'ania madarakani.hawana ugomvi na hayo mataifa wanayatolea udenda.
 
Ndugu yangu Iran ni taifa lenye uwezo mkubwa sana na ndio maana huyo marekani ana sita kwa sababu anajua madhara ya kuingia vitani na Iran.
Kwahiyo we we usijifanye una akili kuliko viongozi wa Marekani.
Ndio maana amekuambia,mlisema maneno kama hayo kipindi hicho Iraq. Baadae mkabaki mnambwelambwela tu. Usifikiri kitendo cha USA kutoingia vitani ni kuogopa. Kwanza lazima ujue vita sio lelemama. Kuna wananchi wasio na hatia watauawa,kwa kuzingatia hilo USA wanajaribu kwenda kwenye muafaka kwa mazungumzo bila kuingia vitani. Lakini hako kajinga (iran) kanajaribu kutafuta sifa kwa kutest tu-nyukiria twake kwa USA ili kawe juu. Nakuambia kataipata fresh kama Iraq. Hukumbuki Saadam nae alikuwa anajitapata sana. (Hata nyie wapambe wake mkaingizwa chaka kama hivi sasa kwa Iran anavyowaingiza chaka). Ukizingatia vita vitapiganwa kwenye ardhi yake. Hawana ujanja wa kuihamishia hiyo vita USA. The time will tell
 
Mkuu hiyo report hapo nimetoa ktk vyenzo vya habari vya US vyenyewe vikisema Iraq alipata support kutoka kwa US,Uk,France na USSR.
Na kuhusu Iran ninaweza kukubaliana nawe huwenda alikua anauziwa silaha.
Interests za USA Iraq nyakati hizo zilikuwa ni kuzuia expansion ya Soviet Union, wamarekani hawakuwa na interest ingine pale sababu hata mafuta tu walikuwa nayo kidogo sana.

Kumbuka baada tu ya vita na Iran ndio Sadamu alienda kushambulia Kuwait, Sadam alikwenda kuwait kujitwalia maeneo yenye mafuta sababu baada ya vita na iran uchumi wake ulikuwa umedorola sana na namna pekee aliona ya kuimarisha uchumi wake ni kupata mafuta, yanapatikana wapi harakaharaka, Kuwait, akaenda.

Na kwasababu Iraq haikuwa na umuhimu mkubwa sana wakati huo kwa marekani, ndio maana wakafurushwa vibaya sana kutoka Kuwait. hivyo kusema marekani alikuwa upande wa Iraq wakati wa vita.

Actually, kwa namna fulani kwenye vita ile marekani alikuwa anataka iraq ashindwe ili soviet union ionekane ya hovyo tu, japo alikuwa na interests zingine za kukomboa mateka wake.
 
Ndio maana amekuambia,mlisema maneno kama hayo kipindi hicho Iraq. Baadae mkabaki mnambwelambwela tu. Usifikiri kitendo cha USA kutoingia vitani ni kuogopa. Kwanza lazima ujue vita sio lelemama. Kuna wananchi wasio na hatia watauawa,kwa kuzingatia hilo USA wanajaribu kwenda kwenye muafaka kwa mazungumzo bila kuingia vitani. Lakini hako kajinga (iran) kanajaribu kutafuta sifa kwa kutest tu-nyukiria twake kwa USA ili kawe juu. Nakuambia kataipata fresh kama Iraq. Hukumbuki Saadam nae alikuwa anajitapata sana. (Hata nyie wapambe wake mkaingizwa chaka kama hivi sasa kwa Iran anavyowaingiza chaka). Ukizingatia vita vitapiganwa kwenye ardhi yake. Hawana ujanja wa kuihamishia hiyo vita USA. The time will tell
Mazungumzo ya US na IRAN Yahusiane Nanini

Kila TAIFA Linahaki Ya Kujilindia Usalama Wa Taifa Lake

IRAN Anahaki yakujilinda kama walivyo US Wanavyojilinda

IRAN Anahaki yakuwa na NYUKLI Kama Walivyo Wengine

Shida Ya IRAN Imeanzia Pale Ambapo Jamaa wamejitambua mapema wakakataa kua kibaraka na koloni mambo leo la US na Mashost zake

IRAN Hafanyi Mazungumzo Na Bwege Yeyote Na Hakuna Wakumpiga
 
Ipo siku isiyo na jina yatatumika tu na nakuombea kwa mungu Kama utakua umeshakufa ufufuke japo kwa dkk 1 ushuhudie afu ufe tena
Kwahiyo marekani nao watakubali kupigwa tu? Irani kiteknolojia bado ipo chini sana usiifananishe na marekani mkuu.
 
Kwahiyo marekani nao watakubali kupigwa tu? Irani kiteknolojia bado ipo chini sana usiifananishe na marekani mkuu.
Kwel ujakosea kbx kiongoz yule iran bado yuko chini kiteknolojia hawez kumshnd marekani.na watu wamekarr kwa maan hawajawah kumskia marekani ak test nyuklia zake au wameshasahau walchokpta japan kwny miak ya 1940s mpk miaka ya nyuma watu walkuwa wanazaliwa na ulemavu
 
Wampige sasa kama wakochini wako juu hio hatutaki kujua

2nachotaka kujua nikwanini toka mwaka 1979 mpaka ss hajampiga ama anampiga kwa vikwazo 2
 
Wampige sasa kama wakochini wako juu hio hatutaki kujua

2nachotaka kujua nikwanini toka mwaka 1979 mpaka ss hajampiga ama anampiga kwa vikwazo 2
Muda utaongea tu ww 2lia ushuhudie sio unaon n rahs kuandaa vta kama ww unavyodhania huo sio ushabk kama wa smba na yanga hayo n mataifa mawili ambayo kla m1 anaangalia madhara kama kukwepo na vta
 
Cha kumfurahisha raia wengi waIran wanatamani wamarekani waanzishe vita. Asilimia kubwa ya raia hususan vijana hawaipendi kabisa serikali na utawala wa Ayatollah. Kama vita itaanza serikali ya Ayatollah itapata mashambulizi hata kutoka kwa raia wake
Ukweli ndio ni kama wananchi wa Libya walivyokuwa hawapendi utawala wa Muammary Ghadaff
 
Itategemea maslahi ya china na urusi, wasije kutengeneza vita ya dunia au kuendelea kuvuruga utulivu eneo zima la mashariki ya kati
Kwa iyo walivyolipua pale kwy kituo cha mafuta Saudia ni sahihi

Ugali Maharagwe umeharibu akili za watanzania
 
Back
Top Bottom