Mkuu unamchukulia poa China.hahaa, eti China ndio jeshi lote la Nato? China + Urusi hawamfikii hata Marekani kiuchumi na kijeshi akiwa peke yake, achilia mbali hiyo Nato, hebu jaribu kutafuta facts mtandaoni kwanza kabla ya kuja kujibu kwa ushabiki na mihemko mkuu
Usikae ukakariri ya mtandaoni.
Ebu nenda kamuulize USA nini kilichomkimbiza South China sea alipoenda kuweka battle ships zake akidai kuwa south china sea ni international marines ila kuna vyuma alivionesha China vinapiga two targets per once na akamuonya USA arudishe battle ships zake na asirushe fighter jets pale.
US haikubaki na hairushi ht kipepeo pale South China sea.
Usiwachukulie China poa ww.
China peke yake anateketeza NATO nzima.
Maana ana vinu hajavitoa na ni hatari we baki na kusoma data za kwenye google.


