Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Mkuu.
Ebu kamsome vema mmarekani nadhani humtambui vema.
Kabla ya hayo makubaliano 2015 je Obama alikua na uswahiba na Rouhani ?!!
Jibu laaah.
Obama mwaka 2011 alipeleka drone nne Iran kwa lengo lake baya lakini zikashushwa.
Akapeleka makomando wanamaji Iran wakakamatwa kabla hawajafanya uvamizi wa siri.
Je hivi ndivyo mataifa yanayokua na uswahiba yalivyo?!
Baada ya kuona ameshindwa kuiingia Iran huyo Obama wako akaona bora waingie mikataba ya amani sasa ya JCPOA.
Lakini kabla ya hapo walikua na uhasama vema tu.

US ana sera yake ya "no permanent friend no permanent enemy".
Yani hatokua rafiki wako wa kudumu na hatokua adui wako wa kudumu.
US ukifanya anavyotaka basi utakua na amani,yani atataka akuendeshe anyonye maliasili zako km wanavyofanyiwa hayo mataifa ulioyataja.
Lakini ukijielewa na kupingana nao umekwisha.
Nchi nyingi Afghanistan,Pakistan,Iraq kaziharibu yeye.
Hao Oman,Saudiarabia siku zao zinahesabika.

Halafu kama US ana ugomvi na kiongozi peke ake basi asingeiharibu Syria na Iraq kama vile.
Ukiwa na chuki kwa kiongozi wa taifa lenye kushikamana basi unalichukia ama una ugomvi na taifa zima.
Hivi wewe hauoni Elungata anavyoelezea mpaka uswahiba wa Iran na Marekani katika kuamua nani anakua Rais wa Marekani
 
Umebadilisha sasa kaka!?
Ulikua ukisema Iran alipata collabo US ndipo nilipokua nakinzana nawe.
kwani wapi nimesema hakupata collabo. angalia maelezo ya kina ya Elungata, kwamba Marekani lengo lake kuu ilikuwa kukomboa mateka wake, na hata biashara yake ya siraha na irani ilikuwa ya siri, Elungata hajaelezea tu kwamba usiri huo uliwezekana sababu siraha zilikuwa zinafanywa kama vile zinauzwa israel kumbe zinauzwa iran. maana ake hata Israel ambaye leo Iran wanasema wanataka kumfuta kutoka uso wa dunia, nae alishakuwa swahiba mkubwa wa wairan.

haya mambo ya hapo mashariki ya kati, na siasa na mahusiano ya hizo nchi tunazosema zimeendelea ni mambo ya kimaslahi, tena maslahi ya watu fulani fulani binafsi lakini sisi tumepofushwa na kudhani ni mambo ya kimataifa.
 
Mkuu unajichanganya sana.
Mm nimesema napinga ww unasema kuwa ulisema .
Halafu alichoelezea Elungata ni michezo ilifanyika wala sio uswahiba bali ni fricking zimefanyika,hio huwezi ita ujamaa.
 
Nimemuelewa.
Hivi haujui km kuna flicking imechezeka hapo kwa Iran kumtumia Rafsanjan?!!
Mkuu unakwama wapi!!??
Sawa, na conclusion ndo inakuwa kwambaaaaaaa, uhasama unasababishwa na mitazamo ya marais kutokuwa aligned tu. sio maswala ya kitaifa.
 
Mkuu unajichanganya sana.
Mm nimesema napinga ww unasema kuwa ulisema .
Halafu alichoelezea Elungata ni michezo ilifanyika wala sio uswahiba bali ni flicking zimefanyika,hio huwezi ita ujamaa.
sasa kwa nini uziite ni uadui?
 
sasa kwa nini uziite ni uadui?
Bro maswahiba hawafanyiani fricks kabbisa.
Iran na US hawana uhusiano mzuri tukubali hilo ndugu.
Kama unasikilizaga speech za Iran spokesman Ayatollah Khomeini kwa raia wa Iran utajagundua kitu.
 
kwani wapi nimesema hakupata collabo. angalia maelezo ya kina ya Elungata, kwamba Marekani lengo lake kuu ilikuwa kukomboa mateka wake, na hata biashara yake ya siraha na irani ilikuwa ya siri, Elungata hajaelezea tu kwamba usiri huo uliwezekana sababu siraha zilikuwa zinafanywa kama vile zinauzwa israel kumbe zinauzwa iran. maana ake hata Israel ambaye leo Iran wanasema wanataka kumfuta kutoka uso wa dunia, nae alishakuwa swahiba mkubwa wa wairan.

haya mambo ya hapo mashariki ya kati, na siasa na mahusiano ya hizo nchi tunazosema zimeendelea ni mambo ya kimaslahi, tena maslahi ya watu fulani fulani binafsi lakini sisi tumepofushwa na kudhani ni mambo ya kimataifa.
Kwamaelezo ya elungata soma vyema uelewe mkuu

Jama kaelezea as if IRAN Waliipiga kikumbo US Kwasuala zima lakijasusi

Sio kama walikua na uswahiba wakwel
 
Haya mambo huwa ukiangalia kwa juu juu yanakuchanganganya,
ni wakati wa utawala wa Reagan,baada ya israel kuvamia lebanon,walipachika kibaraka wao kuwa rais,majeshi ya marekani,ufaransa yakatua Beiruti mwaka 1982 kulinda amani,
PLO wakafukuzwa lebanon na kuhamia Tunisia,
punde rais wa lebanon akawa assassinated,
yakazuka mapigano lebanon miongoni mwa kundi lililosaidia na israel chini ya rais wa sasa michael aun kama sikosei dhidi ya vikundi vya lebanon vikisaidiwa na iran,
Airiel sharon akaongoza mauaji katika kambi ya wakimbizi wa lebanon pale shatila,
siku chache baadae truck bomb likastruck kambi ya jeshi la marekani mjini beiruti na kuua US marine 241,
mda huohuo truck bomb jingine likastruck kambi ya jeshi la ufaransa mjini beiruti na kuua wafaransa 58,
pia raia 6 wa lebanon wakafa,
marekani wakaondoa vikosi vyao baadaya tukio hilo,
lawama za tukio hilo zikaelekezwa iran ,japo ushahidi wa moja kwa moja ulikosa,

lakini tena chini ya Reagan mwaka 1988 april,manowari ya marekani persia ilikanyaga bomu baharini ikalipuliwa,lawama zikawa kwa iran,
Reagan akatoa amri ya kushambulia navy asset za iran,
operation prying mantis,mapigano yalidumu kwa wiki kati ya marekani na iran,
july 1988 marekani wakatungua ndege ya irani ikiwa na abiria zaidi ya 200,
disember 1988,ndege ya abiria ya marekani ikalipuliwa juu ya anga la lockber scotland na kuua watu 241,
walipuaji wakiwa majasusi wa libya japo marekani wanadai iran ilihusika kama kulipa kisasi kwa kulipuliwa ndege yake,
matukio haya machache yanaonyesha marekani na iran ni nchi ambazo zina uhasama,
mfano marekani wanadai Iman mughniya wa hezbula ndio aliorganise mashambulizi ya kambi ya jeshi la marekani huko beiruti,
mwaka 2012 kama sikosei marekani waliipa go ahead israel katika operation ya kumuua huyu mughnniya,israel walitega bomu kwenye gari lake na alipoingia na kuwasha tu akalipuliwa na kufa,

hezbulah wanadai shambulio hilo lilipewa baraka na waziri mkuu Hariri wa lebanon,

haukupita mda waziri mkuu wa lebanon aliuawa kwa kulipuliwa na bomu ambalo inasemekwa lilitegwa na majasusi wa syria ndani ya lebanon,
 
Iran halali usingizi kwa ajilii ya Israeli mbabe wake anayemtwanga lakini yeye airan anajibu kwa vitisho tu !
 
Iran halali usingizi kwa ajilii ya Israeli mbabe wake anayemtwanga lakini yeye airan anajibu kwa vitisho tu !
ni ngumu sana iran kujibu moja kwa moja kuipiga israel,kumbuka hivi ni vita vya proxy kumaintain denial,tuchukue mfano wa syria,iran anamantain kuwa hana askari syria zaidi ya military adviser,lakini ni wazi kuwa kuna wanamgambo wa iran syria,pili mashambulizi mengi ya israel ukiachilia moja lengo huwa kuharibu miundo mbinu ya iran militias,mwaka juzi au jana israel walishambulia syria wakaua ofisa wa kijeshi wa iran pamoja na mtoto wa mughniya,hezbollah ndani ya siku tatu walishambulia israel na kulipua jeep kwa ATGM, mashambulizi dhidi ya syria army,Assad alishaamua kuya absorb as long as hayana madhara kivile,syria iko busy idlib
 
Vip hali ya idlib mapigano yanaendeleaje maana naona Papo kimya saana
ni ngumu sana iran kujibu moja kwa moja kuipiga israel,kumbuka hivi ni vita vya proxy kumaintain denial,tuchukue mfano wa syria,iran anamantain kuwa hana askari syria zaidi ya military adviser,lakini ni wazi kuwa kuna wanamgambo wa iran syria,pili mashambulizi mengi ya israel ukiachilia moja lengo huwa kuharibu miundo mbinu ya iran militias,mwaka juzi au jana israel walishambulia syria wakaua ofisa wa kijeshi wa iran pamoja na mtoto wa mughniya,hezbollah ndani ya siku tatu walishambulia israel na kulipua jeep kwa ATGM, mashambulizi dhidi ya syria army,Assad alishaamua kuya absorb as long as hayana madhara kivile,syria iko busy idlib
 
@Prem96,,idlib mapigano yanaendelea step by step,bila Turkey kazi ingeshaisha ,sema mrusi anaenda nae step by step na matukio yanaendelea mda wote,juzi US anaanza kudai Asssad alitumiaga chemica attack mwezi may,hiyo maana yake ni kuwa US anatafuta sababu ya kumtwanga Assad pengine baada ya kuonekana imekua ngumu kuipiga iran moja kwa moja sasa wanaamua kumalizia hasira kwa syria
 
Maaana ya kushinda ndio nn? Mfano Japanese mpaka wanapigwa nyuklia alishinda nani, libya mpaka Gaddaff anakufa alishinda nani?, Iraq mpaka anakufa Saddam kwa kunyongwa alishinda nani?, Afghanistan mpaka Osama anakufa kashinda nani?, Urussi anawekewa vikwazo vya kiuchumi mpaka uchumi wake unashindwa tanuka nani kashinda vita ya kiuchumi, China anabananishwa na Huwaei na anasanda mpaka projects 5G haijulikaniki tena nani mshindi,

Ugali Maharagwe umeharibu akili za watanzania

Hivi wewe ni askari? au uliwahi kupitia JKT?
Mimi nazungumzia Conventional War na si Vita ya ki-uchumi au siasa kama unavyo fahamu wewe.
Kuhusu HUAWEI 5G technology China wapo mbali sana, usijidanganye na ndoto zako za mchana. Nimeshuhudia kuna baadhi ya Subways ktk miji mingi ya China 5G inafanyiwa majaribio.
Na kwa taarifa yako 6G Tech. ipo kwenye Drawing Boards na utafiti unaendelea kwenye maabara za vyuo viwili maarufu vya Technolojia ya habari nchini China.

Wewe endelea kula urojo na kahawa za vijiweni.
 
Back
Top Bottom