Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Mkuu huyo Saddam Hussein alipigana na Iran vita vya miaka nane akisaidizwa na USA kipindi hiko Iran ina jeshi changa la mapinduzi lakini Saddam Hussein alisanda.
Iran namba nyingine mkuu.
Halafu ubaya hakuna anayefaham maghala yake ya silaha ndan ya Iran yapo position ipi.
So In your Mind unajua Iran alipigana peke yake pia? i think you know nothing John Snow...

The War since beginning zimekuwa na assist from other army or Financial from third party. Jitahidi unapokuwa unaongea kachimbuke kwanza ili uje na good conclusions.
 
Katika Vita Ya Miaka 8 IRAN Alipambana Yeye Kama Yeye Bila Msada Wowote Maana Washirika Kama Russia Walikua Hawaja Muamini Jamaa Kama Kweli Atakua Ant US Ama Nn
 
HeheheheehMkuu Saddam Hakuwahi Kutisha Kwasbabu

Anatishaje wakati hakuwahi kutengeneza hata baruti

Zana zake zakivita zote alizokua anazitegemea kuingia nazo vitani zilitoka huko huko kwa hao walomgeuka

Usi Ifananishe IRAN Namambo Yakipuuzi Mkuu
Mkuu Baruti its very Easy to make it even by yourself and issue za Silaha zipo open sababu nyingi ni kuzi assemble tu maana parts zinatengenezwa sehemu na nchi tofauti tofauti zenye wabobezi so unawahire tu ma engineer kwa pesa za kutosha wanakuundia vitu kisha wanavigeuza shape n.k So who told you kuwa Saddam hakuwa na hata kiwanda cha Silah?

Na Unavyojua Iran anaunda peke yake from Scratch silaha anazojitambia nazo? Machine za Kufuma chuma za Iran zote ni Made in Germany by Siemens Industry, Robbots Siemens n.k So Silaha from all part of the world Iran ana Smuggling kwa pesa nyingi sana na Zingine ananunua kupitia third part country kwa ma concord yanayoaminiwa na Marekani na Ueropean Union... When am saying something i know it without a doubt...

Anachotambia Iran ni Jeuri ya Russia sababu Russia always yupo against USA
 
So In your Mind unajua Iran alipigana peke yake pia? i think you know nothing John Snow...

The War since beginning zimekuwa na assist from other army or Financial from third party. Jitahidi unapokuwa unaongea kachimbuke kwanza ili uje na good conclusions.
A clever mind argue by points not by undermining others.
If you are clever enough taja washirika wa huyo Iran na alikua ana allies wapi walomsaidia.
Sio unatoa mipasho sijui "i think you know nothing ".
Km I know nothing ningeletaje hiyo point mpk ukaitolea mipasho???
Humu tupo kwaajili ya kuelimishana km una uelewa zaidi sema sio unatoa mipasho.

offensive [55] until near the end of the war. [50] There were a number of proxy forces —most notably the People's Mujahedin of Iran siding with Iraq and the Iraqi Kurdish militias of the KDP and PUK siding with Iran. The United States, Britain, the Soviet Union , France , and most Arab countries provided political and logistic support for Iraq, while Iran was largely isolated.

Angalia waliomuunga mkono Iran ni hao kurdish militias wa KDP & PUK yani wanamgambo wa kikurdi .
Halafu ona hao waliomsapoti Iraq (USA,UK,USSR,France & arab nations).
Ebu kaa unambie Iran utasema ana msaada hapo????
Mbaya zaidi chini wanakwambia Iran was isolated yani ilikula kibano hakuna msaada ilikua inapata.

Halafu ndiyo ninyi mnajifanya mnajua kwa kutoa mipasho.
 
Katika Vita Ya Miaka 8 IRAN Alipambana Yeye Kama Yeye Bila Msada Wowote Maana Washirika Kama Russia Walikua Hawaja Muamini Jamaa Kama Kweli Atakua Ant US Ama Nn
Iran alipata msaada wa wanamgambo wa taifa lake na wakikurdi bas.
Ni sawa na wananchi kujikusanya tu ili wapambane vita.
Hiyo Iraq ilikua ikipatiwa msaada wa kifedha na silaha mataifa makubwa ulimwemguni kasoro China tu uitoe.
Russia,France,USA,UK na mataifa ya kiarabu ikiwemo Kuwait,Bahrain,UAE halafu huyu sijui anazungumzia nn hapa!!!!!!
 
Anaropokwa 2 jamaaa asee
 
Mkuu Baruti its very Easy to make it even by yourself and issue za Silaha zipo open sababu nyingi ni kuzi assemble tu maana parts zinatengenezwa sehemu na nchi tofauti tofauti zenye wabobezi so unawahire tu ma engineer kwa pesa za kutosha wanakuundia vitu kisha wanavigeuza shape n.k So who told you kuwa Saddam hakuwa na hata kiwanda cha Silah?

Na Unavyojua Iran anaunda peke yake from Scratch silaha anazojitambia nazo? Machine za Kufuma chuma za Iran zote ni Made in Germany by Siemens Industry, Robbots Siemens n.k So Silaha from all part of the world Iran ana Smuggling kwa pesa nyingi sana na Zingine ananunua kupitia third part country kwa ma concord yanayoaminiwa na Marekani na Ueropean Union... When am saying something i know it without a doubt...

Anachotambia Iran ni Jeuri ya Russia sababu Russia always yupo against USA
Kwahio IRAN Anatengeneza BARUTI

Halaf Suala Jengine Nikwamba IRAQ Alikua Anatengeneza Kweli Silaha Ila Kuna Miaka 1000 Mia Kenda Nakitu WAYAHUDI Waliripua Viwanda Vyake Vyasilaha Jamaa Akawa Mweupe 2

Akawa ana agiza Silaha kwa 100% Kama alivyo sasa SAUDIA MISRI Na Nchi Zote Zamashariki Yakati ukitoa ISRAEL IRAN TURKEY Hizo Tatu Hapo Ndio Nchi pekee Mashariki Yakati Ambazo Licha Yakuagiza Silaha Wana nazao Imara Kabsa Wanatengeneza Pakistan Sijaitaja Sababu wanategemea sana Silaha Zao Za NYUKLIA Hizi Nyengne zakawaida hawapo vyeeema

Halaf kama ukisema kuhusu kuagiza SILAHA Hakuna Nchi Ulimwenguni Ambayo Haiagizi Silaha Kutoka Nje Even US nd RUSSIA

Ila wana agiza silaha kwasababu zakisiasa nakiuchumi pia

Lakini kuagiza kwao silaha usifikirie wanazitegemea silaha wanazi zinunua kwa asilimia nyingi kama unavyo waza

WAIRAN waliungana wakaunda vikundi vdogo vdogo ambavyo vilisimama na kuitetea ama kultetea taifa lao kwahali na mali kama uonavyo leo YEMEN(HOUTH) nd LEBANON(HIZBULLAH)

IRAN Sio IRAQ Mkuu
 
AaaaaaahSasa ngoja nikwambie kitu IRAN hahusiki Direct kwasababu Kashakanusha kama Hajahusika na katoa wito wafanye uchunguzi kama kahusika kwa namna yoyote ile watoe ushahidi

Hahusiki In direct sababu kama kuwapa silaha waasi US Anawapa silaha waasi wa SYRIA Against Assad
Aliwapa Silaha Waasi wa LIBYA Against Gaddafi ss hapa kwa hoja hii yaonesha yakwamba kuwapa silaha waasi sio tatizo ila wao kwenye kuzitumia ndio wanafanya tatizo

Ss IRAN Hahusiani Maana aliwapa silaha wajilinde ndani ya ARDHI Zao
Mkuu hebu tumia akili hata kidogo, hii hoja yako ni ya kitoto sana
 
We jamaa muongooo kufuru.
Israeli iliua baadhi ya wanasayansi wa Iran kwa kupandikiza magnetic bombs lakin hawajawahi kulipua vinu vyovyote vya nuclear vya Iran.
Hadi leo hii wanaitafuta secret weapon tunnel hao waisrael wako hawaijui ipo ground ipi.
Ndani ya Israel unafanya kazi kitengo gani? Maana unazungumza vitu ambavyo hata waisrael wenyewe hawakuwahi kuvisema.
 
Ivi kuna MTU bado anabisha kwamba USA akiamua kumtandika Iran ,haitachukua Hata siku mbili anaomba poo,alikuwepo sadam na squad missile's zake akasanda itakuwa hayatola kaminei uyu mwajemi
 
Mlisema hivi hivi 2003 wakati iraq inachapwa mara mstari mwekundu mara makombora matokeo yake yule mzee kajificha kwenye shimo nchini kwake.Hakuna taifa kwa sasa linaweza kupigana na USA.Jifariji tu
Usifananishe iraq Na iran.

Huyo iraq mwenyewe aliteka mji wa iran mwanzoni mwa Vita baadae Alikuja pewa iyo kichapo mpaka akakimbia Na Kuacha mji walioteka licha ya kusaidiwa Na NATO kivifaa Na intelligence Na reconnaissance.
Pia Iraq alipewa vifaa vingi vya kisasa kutoka urusi kama vile mig fighter jet lakini bado sadam alikaa Kwa mwajemi.

Iran is........next level
 
Ivi kuna MTU bado anabisha kwamba USA akiamua kumtandika Iran ,haitachukua Hata siku mbili anaomba poo,alikuwepo sadam na squad missile's zake akasanda itakuwa hayatola kaminei uyu mwajemi
Minnachosema US Akafanye Kama Anajikuna 2 Pale IRAN Ilitumunjeshe Kama TAMU Ama Chungu
 
Usifananishe iraq Na iran.

Huyo iraq mwenyewe aliteka mji wa iran mwanzoni mwa Vita baadae Alikuja pewa iyo kichapo mpaka akakimbia Na Kuacha mji walioteka licha ya kusaidiwa Na NATO kivifaa Na intelligence Na reconnaissance.
Pia Iraq alipewa vifaa vingi vya kisasa kutoka urusi kama vile mig fighter jet lakini bado sadam alikaa Kwa mwajemi.

Iran is........next level
Mkuu Usisahau IRAQ Baada Yakuona Mambo yamuendea Kombo Ali2mia Mpaka SILAHA Za SUMU Ila Hakusalimika Nakipigo
 
Kwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua wao
Houthi si ndio Iran, au unataka kutumbia wewe na baba ako sio kitu kimoja?
 
Usifananishe iraq Na iran.

Huyo iraq mwenyewe aliteka mji wa iran mwanzoni mwa Vita baadae Alikuja pewa iyo kichapo mpaka akakimbia Na Kuacha mji walioteka licha ya kusaidiwa Na NATO kivifaa Na intelligence Na reconnaissance.
Pia Iraq alipewa vifaa vingi vya kisasa kutoka urusi kama vile mig fighter jet lakini bado sadam alikaa Kwa mwajemi.

Iran is........next level
Vita vya Irani na Iraq, USA alikuwa upande wa Iran.
 
Wamguse waone..

Iran ana backup ya Mrusi na Mchina ambao ni bitter rivals wa marekani
Mchina usimtarajie huku, hanaga huo muda wa kuingilia ya watu, yeye ataongea tu kujaribu kunusuru, kikiwaka huyoo...hapa ni Mrusi tu ndiye mwenye interest zake.
 
Inaonekana hata hukuelewa nn nimezungumza.
Huyo jamaa anasema Israel alilipua vinu vya nuclear vya Iran nikamkatalia na kumsahihisha kuwa Israel Mossad anaua wanasayansi wa Iran wa utengenezaji wa nuclear ila hajawahi kulipua vinu vyovyote vya nuclear vya Iran wala ghala lolote la silaha ndani ya Iran.

Israel Tried to 'Eliminate' Iran's Nuclear Program By Killing Scientists One of those assassins attached a magnetic mine to Roshan’s car, which detonated and killed him, but spared the life of his wife, who was sitting beside him.
Approaching eight o’clock on the morning of January 12, 2010 Professor Massoud Alimohammadi walked to his car parked next to his house in North Tehran, passing a small motorbike on the side of the road. The fifty-one-year-old elementary particle physicist was a leading Iranian theorist on quantum-field states, and known to his friends as a political moderate.
As the professor’s open his car door, the person who had been observing him pressed a button on a remote control. The bike suddenly exploded with such force that all the windows on Masoud’s four-story apartment building were shattered. Massoud was killed instantly, and two nearby bystanders injured. The triggerman, ostensibly a man named Arash Kerhadkish, strolled over to a car waiting nearby and was driven away.
(This first appeared in July 2018.)
Initially, some speculated that Iranian hardliners sanctioned the killing of a reformist professor. However, anonymous Iranian and Western intelligence sources eventually told a different story: the professor was an important figure in a nuclear-research program run by the Iranian Revolutionary Guard.
Recommended: How the Air Force Wo Nine months later, on the morning of November 29, a quantum physicist named Majid Shahriari was driving through Tehran with his wife, Dr. Bejhat Ghasemi, in the passenger seat when several motorbikes road up beside him near Artesh Boulevard. While one rider hemmed in Shahriari’s car, another rider (believed to be Arash Kerhadkish), attached a package of C4 explosive to the door beside Shahriari, then drove back and triggered a detonator. The explosion killed Shahriari, injured his wife and colleague, and even knocked over one of the motorbike-mounted hitmen, wounding the hitman.
At nearly the same time, another motorbike assassin rammed the car of Sharhiari’s colleague, Professor Fereydoon Abassi, a prominent leader of Iran’s nuclear-research program as he awaited Sharhiari for an appointment at Shahid Beheshti University. He and his wife jumped out of the car just before the bike exploded, seriously injuring Abassi in the face and the hand.
Eight months later on July 23, 2011, Darioush Rezaeinejad and his wife drove to pick up their daughter Armita up from kindergarten. At 4 p.m., the thirty-five-year-old postgrad in electrical engineering deposited his wife and child on the curb and was returning to his vehicle to park the car when two bearded motorcyclists pulled up next him and opened fire with nine-millimeter pistols. Rezaeinejad was shot five times in the arm, neck and chest. His wife, Shoreh Pirani, attempted to pursue the attackers, but they shot her too. The engineer died shortly after being hospitalized at Resalat Hospital. Shoreh recovered, and later told an interviewer that her five-year-old daughter continued to draw pictures of the moment of her father’s death.
Darioush’s wife would also state in a later interview that the engineer had been a member of the Iranian nuclear program and had received anonymous threats prior to his death. Tehran blamed the United States and Israel for the killing. The United States denied the charge, while Israeli government social-media accounts suggestively expressed that it did not condemn the killings, whoever might have perpetrated them.
Six months later on January 11, 2012—nearly the anniversary of Alimohammadi’s killing—Mostafa Ahmadi Roshan, an expert on uranium enrichment, was the next to fall victim while driving to work through Eastern Tehran in his Peugeot 405. Deputy director of the Natanz facility, he had been photographed with Mohamed Ahmadinejad, who was president at the time. Supposedly, he was tailed by multiple assassins, including the ubiquitous Kerhadkish. One of those assassins attached a magnetic mine to Roshan’s car, which detonated and killed him, but spared the life of his wife, who was sitting beside him.
Iranian counter-intelligence operatives in the Ministry Of Intelligence and Surveillance apparently were at work, however. In 2011, reportedly thanks to a tip from a third country, MOIS picked up a twenty-four-year old aspiring kick-boxer named Majid Jamali Fashi, who claimed to have dropped of the explosive motorbike that killed Alimohammadi. Fashi confessed on public television to receiving training and a payment of $120,000 from Mossad (Institute), the Israeli spy agency connected to dozens of assassinations over the years, including German rocket scientists , Olympic terrorist plotters, and the Canadian Gerald Bull, developer of the of the Iraqi Project Babylon “super gun.”
In May 2012, Fashi was hung—and Tehran announced it had captured eight male and six female Iranian nationals involved in the killings. Iranian media subsequently aired a half-hour documentary dramatizing their confessions. The nationals were reportedly drawn from sympathizers or members of the MEK (Mujahedin of Iran), a violent opposition group to the government Tehran. In this account, the agents had received forty-five days of training in Israel, and then operated in multi-cell teams that had meticulously spied on their victims to determine their routines and then executed the hits based on instructions from Israeli handlers.
Iranian security forces are infamous for using torture, sexual assault, and threats to relatives and to compel false public confessions of guilt. However, anonymous sources in Israeli intelligence and American diplomatic circles conveyed to media that Israel really was behind the assassination campaign that Fashi at least had given a generally true confession, and that Israel really was training MEK members to serve as operatives in Iran.
In 2014, a journalist revealed that Washington had pressured Israel to cease the assassinations, which had threatened to derail attempts to negotiate a nuclear agreement with Tehran. Earlier, president Bush was reportedly angered to learn that Israelis posing as CIA agents had recruit Iranian nationals in Pakistan for its sabotage and assassination campaign in Iran.
Of course, both public Iranian and anonymous Israeli accounts may be calculated and less than reliable. It seems possible, for example, that the Iranian nationals implicated in the assassination may have been working besides un-apprehended Israeli operatives from
Kidon (Hebrew for “Tip of the Spear”) an elite assassination unit within Mossad. According to some accounts, the attacks may also have stopped because additional killings would have posed too great a risk, and remaining targets were too well guarded.
There are also a few ambiguous cases to consider. Earlier on January 15, 2007, Iranian scientist Ardeshir Hosseinpour died mysteriously in Isfahan due to a “gas poisoning” incident. The journals Stratfor and Haaretz claimed Hosseinpour’s death was the work of Mossad, while the Iranian government and sources in Mossad denied involvement. Years later, Hosseinpour’s sister claimed instead that the professor had been killed by the Revolutionary Guard for refusing to work with the nuclear program. In 2015, Iranian security claimed it had foiled another Mossad hit. Israeli sources don’t appear to have stepped forth to corroborate either claim.

Na nikaongezea kusema kuwa mpango wa Israel ni kulipua maghala ya silaha ya Iran km walivyofanya kwa Iraq lakini hilo wamelishindwa kwasababu ya ulinzi mzuri wa anga la Iran na maghala yake ya silaha Iran yako underground secretly .
MKUU WAKATI UPO SHULE UMEFUNDISHWA KUSOMA NA KUELEWA UNACHOKISOMA SIO KUSOMA TU ILIMRADI UMESOMA.
KWA HIZO EVIDENCE NAMBIE KIPI ISRAEL HAWAKIJUI???!!!

NASUBIRI JIBU.
Ndani ya Israel unafanya kazi kitengo gani? Maana unazungumza vitu ambavyo hata waisrael wenyewe hawakuwahi kuvisema.
 
Weee huyo Saddam alikaa kwa Iran.
Iraq ana nini ww?
Iran mwanaume.
Ivi kuna MTU bado anabisha kwamba USA akiamua kumtandika Iran ,haitachukua Hata siku mbili anaomba poo,alikuwepo sadam na squad missile's zake akasanda itakuwa hayatola kaminei uyu mwajemi
 
Back
Top Bottom